lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

scarface dream - johnny vigeti lyrics

Loading...

[intro: lutan]
trah!
it’s troubling, every day, you know!

[verse 1: vigeti]
tutaona venye mambo itakuwa manyana
yap! anaye jua maulana
ndugu wako ye atakuua kwa mkwanja
kitu kidogo-tu wanazua mang’ana
weh unajua ni watu ngapi tumezika
yap! zile mangata tumefika
ndio maana si ma-boys tumedata tumechizika
tuna hasira na maisha haya
dad zetu wazuri wawakilisha umalaya
ma-boys mtaani wanapotea na madawa
na voice fulani mtaa nikiongea unapagawa (eh!)
yap! kila asubuhi ni kama
siwezi aanza siku bila bui kinyama
hujui ka ni leo ama hujui ni jana
ma-boy wanashindwa huchukui mikwanja
kila mtu yeye anataka-tu ku-make it

[chorus: lutan]
feels like another scarface dream
it’s just another scarface dream
feels like another scarface dream
it’s just another scarface dream

hustling another day, to make a living
tomorrow may never come but i’m willing
to make a sacrifice me never spend time sitting
gotta get to the street in the morning

[verse 2: vigeti]
kweli!
kila mtu ako nayo, ni kama johnny ndio hana
itabidi niwe ka ‘face tu, tony montana
tunakujia gold na after hapo hivi platinum
either wata-niuwa ama kamiti maximum
juu hii biashara ya usenge, kuishi b-tty man
kufa ni lazima, na kuishi bahati man eh!
yap! nashukuru mola
kuanzia enzi za 3d crew dandora
ni cinema, na john phase ii ni noma!
hizi deal napata zilikuja through wakora
ndio maana hata rules mkivunja tuna chora
bado ishi tu ni cash-tu
fungeni mikanda vyenye sisi tuna crush through
tumekuja kuwaharibia bash-tu
ili mdogo mdogo unashtukia umezama
role model gani hii unapatia tu vijana

[chorus: lutan]
this like another scarface dream
it’s just another scarface dream
this like another scarface dream
it’s just another scarface dream

hustling another day, to make a living
tomorrow may never come but i’m willing
to make a sacrifice me never spend time sitting
gotta get to the street in the morning

[verse 3: lutan]
i see many try religion
it left them in a region
a new-found faith in information
politics fiction, a bag of ammunition, yes it’s a crazy situation
feel like me topsy turvy
………………………………
………………………………
but the focus is to rise and elevate from slum
right now me bullet-proof strapped down yeah
……………………..
……………………..
……………………..
…………………

this like another scarface dream
it’s just another scarface dream
this like another scarface dream
it’s just another scarface dream

never come!

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...