barua ya mwisho - johnny vigeti lyrics
[verse 1: wyre]
eeeh love child pon dah case!
gideon boots already know!
ready fi go fight dis war
negativity full of taxing
ready fi polluting yah conscious
sina uwoga nina mola
thamani hawatani pora
majaribio kwa wingi!
imani yangu msingi
homie life seem confusing
only refuge coulda been mi-music
when me think about my family again
and the only gift to life coulda never want abuse it
[chorus: wyre]
father god keep me sane, through all this pain
nipe haki niishi, bila chuki
show me that right way, when i go astray ooh
nipe haki niishi, bila chuki
[verse 2: vigeti]
najiskia huyu hata sio mimi
man, hata sijui ndio nini!
nafsi yangu ime-dhoofika
medication yangu huwezi ipata hosii aah!
hata sinanga motisha
ukinigeuzia mgongo ndio sasa ndio kwisha
saa ingine mi hujiaangalia
ushaona mwanaume akiskia kulia
nimepotea bado naulizia njia
najua vitu hufanyika na sababu
alafu bado huwezi ridhisha mwanadamu
niwe-tu ndio nikikuita una-kamu
huwezi badilisha chenye mungu ameandika
huwezi ukarudisha wale ndugu tumezika
mambo kwisha, hatuwezi saidika
tafutana na salvation kule kanisa
[chorus: wyre]
father god keep me sane, through all this pain
nipe haki niishi, bila chuki
show me that right way, when i go astray ooh
nipe haki niishi, bila chuki
[verse 3: vigeti]
kweli hawataki kujua
naona nikaa washikaji wataniuwa
wako faster kuni judge mimi
naweza gonga mtu punch nini
zukungwa na upuzi, kama za booty zinafungwa na mu…
hio ndio kitu ya mwisho nitawaandikia
najua hiyo risto itawafikia
kwa kifua uzito naachilia
naenda mimi sijui kama nitarudi
tusipo onana pia goody
man, tusipo onana pia goody
napiga magoti
asante hapana nipita sir-gody ha!
potelea kwa form hakuna
man, tunaongelea hawa ma-k-ma
haina noma hayo ndio mawazo ya mwisho
na sio mawazo ya mwisho
sio mbali kutoka hapa
hapana kuchoka sasa
nahofia watoto wetu
hao ndio hope na ndoto zetu
sumbuliwa tu na serekali
hata sijui wanaficha siri gani
[chorus: wyre]
father god keep me sane, through all this pain
nipe haki niishi, bila chuki
show me that right way, when i go astray,ooh!
nipe haki niishi, bila chuki
[outro: wyre]
father god keep me sane x3
through all this pain
father god keep me sane x2
ooh! nipe haki niishi, bila chuki x3
Random Song Lyrics :
- bad surfari bad trip - the manges (punk) lyrics
- bombazine - vorm lyrics
- não se esqueça de mim - gabriel spect lyrics
- don't hold it against me - trapper john lyrics
- white man acoustic guitar (live at fables and legends) - value select lyrics
- rise together - the strangers (2222) lyrics
- a dál? - icedoutsider lyrics
- nokkia - lokki (hrv) lyrics
- let yourself go (clean) - green day lyrics
- music for machines - alicy lyrics