lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

na ijulikane kuwa, upo - jerebet lyrics

Loading...

verse one
wanataka dhibitisho
hawasomi maandiko
hawaamini wokovu wake kristo
aliyotupa kwa bure

alikuja duniani, wakamkana
kafuf*ka zimuni, wakaficha story
alitenda miujiza, lakini bado, they said no!

chorus
nimekuona kwa macho yangu, masikio yangu
na ijulikane kuwa
nina ushuhuda maishani mw*ngu
na mabeshte w*ngu
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
na na na na na na

verse two
mungu amejionesha, kila mahali, kila wakati yeah, ye yuko nami, yeah
hata kama hatumuoni yeah
ukimtafuta utampata

twapotea kwa mioyo yetu, giza zetu, yeah
katuumba kwa sura yake, katupa ufahamu wake
twamwakilisha duniani kote
ndani yetu yu hai

chorus
nimekuona kwa macho yangu, masikio yangu
na ijulikane kuwa
nina ushuhuda maishani mw*ngu
na mabeshte w*ngu, yeah
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa

bridge
pumzi yako iko kwa kila kitu
jua lako laangaza kila siku
(pumzi yako eeh) pumzi yako iko kwa kila kitu
(na jua lako yeah!) jua lako laangaza kila siku

chorus
nimеkuona kwa macho yangu, masikio yangu
na ijulikane kuwa
nina ushuhuda maishani mw*ngu
na mabeshte w*ngu
na ijulikanе kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa
upo
na ijulikane kuwa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...