shukuru - jerebet ft maangi lyrics
chorus
nina sababu yaku*shukuru
bila kuteta wala kunung’unika
nipunguze mashindano, yeah
sikosi sabau yaku*shukuru
verse 1
nije aje mbele zako (bila kuteta*a, kuteta*a)
wanisikia ulipo (na sikio, sikio lako)
daudi naye alipo
aliteta nami ndipo
ta*imagini waisiraeli (walizunguka eh, zunguka eh)
walishinda jangwani
miaka arobaini, yeah
hivyo nami sitaki
moyo w*ngu shukuru (ha, ha, ha, ha, ha)
moyo w*ngu shukuru (ha, ha, ha, ha, ha)
chorus
nina sababu yaku*shukuru
bila kuteta wala kunung’unika
nipunguze mashindano, yeah
sikosi sabau yaku*shukuru
verse 2 – maangi
every time i think of what you’ve done
my heart is filled with gratitude
and all my problems seem to fade away
cause your love outshines my darkest days
just like the leper came and poured his heart
i’ve come to pour my alabaster oil, in praise
for what you’ve done and what you’ll do
i give you thanks i give you thanks
oh, my heart bless the lord (ha, ha, ha, ha, ha)
oh, my heart bless the lord (ha, ha, ha, ha, ha)
chorus
nina sababu yaku*shukuru
bila kuteta wala kunung’unika
nipunguze mashindano, yeah
sikosi sabau yaku*shukuru
bridge
i will look at, what you’ve done and praise you all my life
i will look at, what you’ve done and praise you all my life
yeah
yeah
yeah
yeah
chorus
nina sababu yaku*shukuru
bila kuteta wala kunung’unika
nipu*nguze mashindano, yeah
sikosi sabau yaku*shukuru
nina sababu yaku*shukuru
bila kuteta wala kunung’unika
nipu*nguze mashindano, yeah
sikosi sabau yaku*shukuru
ah
nahukuru
nashukuru
nashukuru
nashukuru!
hey nashukuru
eeeh
nasema asante bwana
yeah
Random Song Lyrics :
- all night - marco luka lyrics
- changed - aryze lyrics
- even the hardest heart - jag (rock) lyrics
- tend to lose - deep chatham lyrics
- kay just krazy - tenkay lyrics
- tarde demais - glitter (bra) lyrics
- sista lucy - laura lautstark lyrics
- himno nacional argentino - abel pintos lyrics
- по новой (by new) - zexa lyrics
- moonset - big|brave lyrics