![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
unanimaliza - jay melody lyrics
[intro]
mm
mmm
wananiita, naam!
jay once again
[?]
[verse 1]
penzi lisilo kinai
kama wahindi, mumbai
nimezidiwa, wallahi
nalainishwa mkate kwa chai
naona raha tukifurahi
macho yako ndio, aih!
mitego yao sijali
nimeamua sa ndege sipai
[bridge]
you’re my lover
mwenzako napenda
when you kiss me, when you touch me
mwenzako napenda
i’m crazy for your love
(?) wewe
nishazama mapenzini, penzi lanimeza
[chorus]
baby, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
sweetie, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
[verse 2]
nilipo
napewa raha za pwani
sio siri, jamani
hakuna kulala
sa ndio nini hivyo
kunichanganya, honey
fasta ka cherehani
utanipa lawama
mpenzi, mi nguvu nakuwa sina
na mambo kwa ndani, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
kindoo nashindwa k*mimina
sababu mi nguvu nakuwa sina
ukifinya baby, ukifinya
ukifinya baby, ukifinya
[bridge]
you’re my lover
mwenzako napenda
when you kiss me, when you touch me
mwеnzako napenda
i’m crazy for your love
(?) wewе
nishazama mapenzini, penzi lanimeza
(oh, la)
[post*chorus]
baby, mwenzio (baby)
unanimaliza (ooh, c’mon, c’mon)
mi mwenzio (ah, ah)
unanimaliza (ah)
sweetie, mwenzio (baby)
unanimaliza (baby, c’mon, c’mon)
mi mwenzio
unanimaliza
ah
oh, mwenzio
unanimaliza
mi mwenzio
unanimaliza
ka mix lizer
Random Song Lyrics :
- family values - victims aren't we all lyrics
- immer noch kaffer en masse - afrob (deu) lyrics
- faceless - triumphant lyrics
- let it rock - cahill remix [radio edit] - kevin rudolf lyrics
- uk - cadell lyrics
- 예뻐지게 (high heels) - clc lyrics
- tobuscus dubstep remix - "gimme that" - dj alex s lyrics
- contento mai - blue virus lyrics
- denk nach - manuellsen lyrics
- feeling good - the cinematic film band lyrics