lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

turudiane - jay melody lyrics

Loading...

[intro]
onaa nana nana nanaaaah
anaitwaje uyo? jay, jay once again

[verse 1]
nilikukosea, naomba unisamehe
nishajionea, kwamba sina lolote
bila wewe siwezi endelea
naomba twendelee
yalikuwa matamu, mapenzi yetu
yalikuwa super, aaah

[pre chorus]
aaaaah ah, ex dua gani ulivoisoma?
aah, kama ndio cha moto nimekiona
aku siwezi, kujifanya niko sawa k*mbe inachoma
inaumiza, nimeshindwa kukaza

[chorus]
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
uuh nana nanana ooh

[verse 2]
weeh, saa sita, saa saba usiku
nitakupigia na kitu
nawe pokea j*po tu
nikuongeleshe kakitu
uko inje, kila mtu wa mtu
nishakuwa single my siku
basi nielewa kiduchu
tumalize hili bifu
[bridge]
nimeshindwa k*movе on
nimeshindwa k*move on
hata siwezi, k*movе on
wanawezaje, k*move on?

[pre chorus]
ex dua gani ulivoisoma?
aah, kama ndio cha moto nimekiona
aku siwezi, kujifanya niko sawa k*mbe inachoma
inaumiza, nimeshindwa kukaza

[chorus]
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane
mwenzako nataka, turudiane
mwenzio nataka, turudiane

[outro]
once again
mwenzio nataka, turudiane

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...