![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
sielewi - jay melody lyrics
[intro]
[?]
wananiita jay
[verse 1]
ajabu penzi limeshaota mbawa
kama siko sawa, hili penzi ndio dawa
i want more time with you together in the shower
tunywe na kahawa, tukule bila kunawa
sikujua maana ya mapenzi
umenifundisha ku enzi
raha kuzifaidi
na
[pre*chorus]
umeutua, moyo umeutua
napata baridi, kabisa napoa
kwenye hii sayari, hakunaga jua
ni mapenzi yako matamu, kitumbua
mwenzako mimi
[chorus]
hata sielewi (eh!)
hata sielewi (eh!)
hata sielewi
nnavyo endeshwa na penzi lako
hata sielewi (eh!)
hata sielewi (eh!)
hata sielewi
nnavyo endeshwa na penzi lako
[bridge]
oh, lolo, lolo, lolo
oh, lala
[verse 2]
ah, napenda jinsi unashuka mlima
na’ na tena vile unakata stima
nachoka mazima, basi nipe nyama nzima
ah, tetema, ruksa kuringa, umepima
ah, don’t leave me lonely, lonely, mwenzio
nna la kusema, tega sikio
nikikuona wewe, moyo unaenda mbio
basi mechi ya jana, leo marudio
na
[pre*chorus]
umeutua, moyo umeutua
napata baridi, kabisa napoa
kwenye hii sayari, hakunaga jua
ni mapenzi yako matamu, kitumbua
mwenzako mimi
[post*chorus]
hata sielewi (oh, mimi)
hata sielewi (oh, lalale!)
hata sielewi (mh)
nnavyo endeshwa na penzi lako
hata sielewi (oh, lalale!)
hata sielewi (oh, lalale!)
hata sielewi
nnavyo endeshwa na huba lako
ayo lizer
Random Song Lyrics :
- la sorgue - léo ferré lyrics
- lacrime sugli occhi - matsby lyrics
- historian - pillow queens lyrics
- quagmire - borealis rex lyrics
- kingdom - pete murray lyrics
- black and blue skies - house of shakira lyrics
- 20 mil reais - gyldo lyrics
- kill within - anuphoria lyrics
- indigo world - hydrogen sea lyrics
- bakteria - lanek lyrics