ndonga remix - jay melody lyrics
[verse 1 : jay melody]
dua ilo katisha, eti mvua isiyeshe
hiki kihali, kipite mbali tulia acha mapepe
ana pepea mtima, hapa nangoja nideke
kwambali zumari kombe la chai yani walete walete
eti anacheza mkomboti wa chawidu
na uno *n*likata yani mudogo mudogo
macho legeza malaini kama mwidu
najichezea karata nywele tozi la kikongo
[chorus : jay melody]
oh mimi sa napagawa changanya
naumia ndonga
oh oh oh anavyo nichanganyia uhondo
naumia ndonga
oh mimi hata sina lakufanya
naumia ndonga
oh oh oh anavyo nichanganyia uhondoh
naumia ndonga
badi badi badi
[verse 2 : nandy]
limziki sabufa
fujo zote humu ndani
nawapigia kelele
mnisamehe majirani
tumezibwa ukuta
ndani raha rubudani
naye ndo boss na leo yuko na mie chawa
oh baby nifaye mchanganye mchanganye dullah
au niwe kivurande nikupe za don masha churah
oh baby nifaye mchanganye mchanganye dullah
nalo penzi litutande wakati tunataka kula
[chorus : jay melody & nandy]
oh baby sa napagawa changanywa
naumia ndonga
oh oh oh anavyo nizidishia uhondoh
naumia ndonga
oh baby hata sina lakufanya
naumia ndonga
oh oh oh anavyo nichanganyia uhondoh
naumia ndonga
badi badi badi
mussa babaz wa babaz
wa mama jay baby
Random Song Lyrics :
- tell you sum'n - fred the godson lyrics
- aviva-nos (awakening) - gui rebustini lyrics
- no love - jordang17 lyrics
- livin' in america - james brown lyrics
- take me to the clouds above - generation dj lyrics
- off topic office (fpm cover) - jwtm lyrics
- lightspeed - kim lyrics
- 3 some - lacy lyrics
- kast stein pt. 3 - dirty oppland lyrics
- d'prestao - d'callaos lyrics