you - jay c yrn lyrics
[intro]
(lizen)
yeah yeah yeah
[chorus]
stress zangu baby umezitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (hakuna)
sipati tabu tena na furaha (oooh oooh)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
stress zangu baby umezitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (yeah yeah)
sipati tabu tena na furaha (yeah yeah)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
[verse 1]
unanipenda kama nilivyo mi mtoto wa mwenzio
naahidi sitokuacha mpaka kifo, kugombana kwetu noo
hata wakisema we malaya, sikuachi kama mpira wa ulaya
hata wakisema mimi falaa najua ipo siku wataacha
nitakupeleka hadi kwa mama akakuone na baba
watafurahi wakikuona coz sasa ni w*ngu muda
[chorus]
stress zangu baby umezitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (hakuna)
sipati tabu tena na furaha (oooh oooh)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
stress zangu baby umеzitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (yeah yeah)
sipati tabu tеna na furaha (yeah yeah)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
[verse 2]
umenisahaulisha mambo mengi, nashukuru siwezi kusahau
sitojuta kua nawe baby kama nyumba we msingi
we ndio mama laaa, mama laooo
twawapiga baaa, twawapiga baooo
walio niacha nyuma watakoma, si tunaenda mbele tunasongaa
coz we mpenzi w*ngu umeiteka akili yangu
na uo uzuri wako unanichanganya mi mwenzako
na kila nikuonapo mi nafurahi mi mwenzako na
na nisipo kuona nahisi kama nakufaa
[chorus]
stress zangu baby umezitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (hakuna)
sipati tabu tena na furaha (oooh oooh)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
stress zangu baby umezitoa (you you)
maumivu tena moyoni hakuna (yeah yeah)
sipati tabu tena na furaha (yeah yeah)
moyoni mw*ngu tena umenikaa (yeah yeah)
Random Song Lyrics :
- still aint enough - mc tree g lyrics
- trilogy readers - bob kanefsky lyrics
- afterlife - lil x21 lyrics
- i am scared of gay men (the fruit spook) - yvng sqviggvs lyrics
- himitsu da yo - tuzera lyrics
- herzflucht - nello & moonania lyrics
- русский дух 2024g - vэл done lyrics
- confio em teu amor (ao vivo) - diante do trono lyrics
- jungle in the city - gable price and friends lyrics
- deutschrap resümee - delil & avie lyrics