wajomba - jambo squad lyrics
[intro: ordinary]
weh (wewe)
alusi mabele (alusi mabele)
msalimie, zaiko langa langa
eeh, zaiko langa langa bana
nampenda sana
[chorus]
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
[verse 1: ordinary]
ah
dili ikitiki sema ‘hasta la vista
sio polisi lakini nitawashika
(mmm)
kitu imejipa
tunachana tu mawingu na mapipa
(ordy)
nipo juu kama nyota
nimevunga kwa fasi, nameremeta
ukijificha gizani tunalitupa
(?)
tumewamiss wajomba
tumekuja na midude
(?) na sio kamba, ya kwamba tuje tuzuge
hata’
(alo)
tamu kama burger
ngumu k*meza lakini inapitaga
(?)
ina vibe kama lager
ukizidisha misumari unataga
unajikuta kitambo umepitaga
amekataa ugali, ‘masela wanasemaga
[chorus]
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
[verse 2: n*gga c]
ah
wajomba, ‘ndio ma zimba
wakina koffi na akina awilo longomba
walipiga marimba, wakacheza rumba
ukutane na nyoka halafu amevua gamba
weh, weh, ‘weh ni kirambas
achana na watoto wa juzi bado wana pampers
wajomba wanakufuzu hata bila handas
ma*profeshenali, yaani wako high*class
(woo!)
wajomba’
wakina malananga na kinyonyolomba
hawakatai dеmu eti kisa mimba
watafanya kila kitu mambo yaende bomba
wao ni baruti, ‘kama wе ni mwamba
wajomba (yo)
sio washamba (uh*huh)
kwenye k*mi na nane ‘huf*ka, no kuremba
kuna mabwenyenye na vimbao*mbamba
kama mamba wanang’ata, man
no kuremba
[chorus]
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
uh!
[verse 3: ordinary]
kiuno bila mfupa ni cha yondo sister
sema wajomba walikula kwa picha
pembe la ng’ombe ‘haliwezi jificha
mjomba nchumari yaani hapo chacha
(yeh)
komando kipensi, unaik*mbuka ile picha?
bonge la nguna, halafu mboga kwenye jagi
tumewamiss wajomba
zikipigwa sema, ‘maji
(he*he, maji maji)
[verse 4: n*gga c]
tumewamiss, miss (uh)
wajomba zetu sisi (heh)
that’s why dedication hii kwa fasi
kwanza’
(?) kama tupo iramba
kina kanda bongoman ‘na papa wemba
jean claude van’ damme chana msamba
nimemmiss jackie chan akiruka samba
white, yeah, cheusi
nimemmiss jackie chan akiruka samba
[chorus]
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
wajomba
wajomba
miss wajomba
tumewa miss wajomba
(instrumentals)
noiz arachuga, he*he
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- vessel - sheisarjuna lyrics
- long dream - bread green lyrics
- go new york go - jesse itzler lyrics
- pour 1 out - madison beer lyrics
- 2p2 sisiune e3s2 - phunk b, samurai lyrics
- holli would - willie sees green lyrics
- lachrymose - bruno pernadas lyrics
- all over again - the kickdrums lyrics
- let's get lost (remastered 2021) - come lyrics
- my reason of living for - nando vaganzha lyrics