tukunyema - jambo squad lyrics
[intro]
hih! eh
hii ni ya arusha?
vunga!
hii ni ya arusha?
vunga, vunga chalii
eh, hii ni ya arusha
dx ndio kaipigilisha, jambo akairusha
[chorus]
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
[verse 1: ordinary]
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
eti kapata na presha ‘ana hema, hema
ana dema, dema ’amechoka kinyama
ana lalama ‘amepanda mlima? (sikapanda mlima)
juzi aliteswa na moshi ‘anachochea makande
leo mlango hautoshi ’anapita upande, upande, duh!
(aah!)
pesa hazina mwenyewe
mcheki anavyo tembea, suti kubwa ka gunia
lakini imemuenea ‘[man fe] akivalia ndani anapotelea
unadhani anafikiria ‘pesa kutumia
kwenye daladala seat tatu anaenea
na bado an*z*lipia ‘na ana chupa za mabia
videmu vinamzimia (ha!)
anavizengua ka jengua wa kidedea
pochi yake imejaa mikwanja ‘akifungua, vinamchekea
ana presha ‘mkimshtua atazimia
[chorus]
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
[verse 2: n*gga c]
alikuwa anakula sahani
sahivi sufuria nzima
juzi kavunja uzani ‘eti uzito unampima
ewe tukunyema ‘ukikimbia kidogo unahema
jeans yangu itakubana hivyo siwezi kukuazima
ulikuwa kimbau,mbau ’sahivi bonge nyanya
eti unakula malimau, ndivyo walivyo kusema
sasa aibu yao ’kuya plus kwenye chanya
tena wajibu kwa dharau…
“na siku hizi nakula panya”
unabeba mpaka pipa kama [watu] wenye nguvu
zaidi hata ya big poppa ‘jinsi ulivyo toka shavu
na bado ukikaa kipa ’hawatikisi nyavu
umempita [hadi kikapa] ‘sema hupendagi ku*shave
ukitupia suti machizi wanakupa shavu
kule kwetu vibinti ‘vinakuita “love”
mimi kwako ni kijiti, nimechonga ‘sina mbavu
ndio maana ukichimba biti’ sibish*gi, mi na sevu…
[chorus]
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
[verse 3: n*gga c & ordinary]
kibonge ‘chukua mkate
nipe na soda ya k*mezea
bonge, njoo nikupakate
we dogo unanizoea
unanilitea za kunijua, siku nyingi huj*pasuliwa, eh
ameshiba, anasinzia ‘anaota yuko miami
amejikwaa lami, anataka gongwa na semi
ameamka anakimbia k*mbe yuko kitandani
anaanguka chini bingwa la kuota
gwiji la hapa a*town ‘anapapenda mamtoni
eti kalala ameota ana show na chris brown
kelele mingi chumbani anaamsha majirani
kimbau,mbau leo tukunyema
mkimshtua tu an*z*ma (an*z*ma)
tetesi zinazovuma eti anamaliza ndama yuko vizuri
ametuna bila kukaza misuli
hataki kigoda ‘juzi alivunja stool(ah)
ukimpiga harudishi
na nguvu alizonazo anang’oa mpaka reli
[chorus]
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
kanenepa kawa tukunyema
kimbau, mbau kanenepa kawa tukunyema
ati
kanenepa kawa tukunyema
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- washaa - maxyudie ft. lilmadyacht lyrics
- right there - houstonblake lyrics
- private reserve - sia amun lyrics
- like a fool - grace weber lyrics
- an ember's arc - be'lakor lyrics
- kalashnikov - tom bem lyrics
- how do you - dell savage lyrics
- peraí - romulo fróes lyrics
- walk in the son ii - s.o. lyrics
- radio - kwesta lyrics