naarendu - jambo squad lyrics
[intro: ordinary]
yesu, ah
nakupenda sana
nakupenda kama pumzi
nakupenda kama magunzi yetu yale tunayopikiaga kule shambani
nakupenda kama migomba yetu
usinikatae bana, nakupenda sana
[chorus: nakaaya]
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(ah, ah)
we ngaksali (naare, baba)
we ngaksali (naarendu)
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(takasha)
we ngaksali (ah, takasha foise)
we ngaksali (naarero)
[verse 1: n*gga c]
yo
nika toto cute ‘katoto cha ki*meru
kama sio cha kikatiti (uh), basi haka ni cha tengeru
mara ya kwanza kukuona shangarai
mara ya pili, tumesoma wote oldadai
naarendu, kwa sindare
yaani ngaksali nakuwinda kama kware
takasha fo, takasha fo de
nakaza roho halafu nakuja wa meh
tena huku nimebeba zangu dumu la maziwa
chali ya ki*meru, kisali’ nimebarikiwa
maziwa yote nauza, ya mtindi kama kawa
na hata wazazi kwa watoto, ‘ya chai, tuko sawa
ngaksali, naarero
usishangae nikiliwasha pale pantero
chali ya ordy, umeniteka sero
nimezima, sisikii, karibu ngarenaro
[chorus: nakaaya]
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(ah, ah)
we ngaksali (naare, baba)
we ngaksali (naarendu)
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(takasha)
we ngaksali (ah, takasha foise)
we ngaksali (naarero)
[verse 2: ordinary]
yah
kanatembea kodo, kodo
kanavaa vi modo, modo
vidume macho kodo
vinamcheki (eh), jinsi alivyo s*xy (eh*eh)
kudadeki, na hizo gonga snake (eenh)
ngaksa, utafanya niuze deki
vyombo na kabati ‘na wale ng’ombe wa maziwa
mi nikupe kama gift (enhe)
ngaksa, kwenu meru pande gani?
mi navunga kikatiti, kule kwa mama latia
ndio maana sisomeki tengeru na kule kia
ila unajua kutupia (eh*eh)
nimekudere kwa mbali, macho si hayana pazia
kwani salamu ni mali?
sa mbona unanikazia?
hata kama tuko mbali
sa siuseme tu hata “ch*yeah” (ah, ah)
we ndio unafanya niende kujikatia
ma konyagi na ma bia
ukinikubali mi naruka biblia
natupa kule ma ulevi, halafu ndoa inafuatia
[chorus: nakaaya]
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(ah, ah)
we ngaksali (naare, baba)
we ngaksali (naarendu)
wewe kisali
wewe kisali
wewe kisali, we
(takasha)
we ngaksali (ah, takasha foise)
we ngaksali (naarero)
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- facetas - j bern lyrics
- gtg diss - 617 gang lyrics
- paper guns - marius samuelsen lyrics
- caer contigo - milton james lyrics
- no problem - grewsum lyrics
- psalm 71 - charles billingsley lyrics
- 極彩色の夜へ (gokusaishiki no yoru e) - climbgrow lyrics
- пропан (propane) - slyetter lyrics
- 불면증(insommnia) - 네스티요나(nastyona) lyrics
- hearts cold - shayne brown lyrics