cheusi mangalaa - jambo squad lyrics
[intro]
haikatai maasai, he*he
jambo squad (jambo squad)
noiz arachuga, he*he
mesen selekta
[chorus]
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(haki ya mungu sikuachi)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(hata nikiota mustache)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(nitakuoa mwezi machi)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(usinizingue, nikiku*approach)
[verse 1: n*gga c]
uh
ayo, nna bonge la kitovu
mpenzi usije ukaniponda
mila na desturi haziruhusu kupeana denda
home ngarenaro, ‘m*mpenzi tutaenda
tena utajichana ugali kwa mlenda
ukisikia “utajiju”, mpenzi w*ngu vumilia
hao ndio mama wa uswazi kawaida yao washazoea
sikia’ kule uswazi ndipo nnapo kaa mentali
ukiona kinyesi kiruke mpenzi w*ngu usijali, ah
usikate tamaa, mpenzi kaza mguu twende
hicho kiuchochoro kidogo, baby pita upande, upande (ha!)
hakuna burger hapa utakula kande
na unanifurahisha sana unapo nibusu [ki ?]
[chorus]
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(haki ya mungu sikuachi)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(hata nikiota mustache)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(nitakuoa mwezi machi)
cheusi mangalaa
(yeah)
mangalaa
(uh)
cheusi mangalaa
(usinizingue, nikiku*approach)
[verse 2: bam]
kama mapenzi ni ushamba
basi wacha niwe mkulima
nikikupata nitakulamba, sichagui yaani mwili mzima
kwenye karata ‘tumba, usije nipima
j*po na vaa vya mtumba ni bora kuliko vya kuazima
[black is light] ‘in darkness
kama [?] karaboti, kibonge mwepesi ka witness
fanya kwa upesi, unitoe stress
usiwe [?] haina ma kesi
na jah ana bless, mwenzio nishadata
nachoka, baby face
chizika na machi [?]’mwezi hatuachi
nitachoka, usinieke benchi
kwani naibuka hata kwa ku*print (ha*ha)
sina mkoko, na usijali by ngoko
ni moko, moko ‘wanakazana wanoko
mangalaa, usikaze ka jangalaa
mwenzio usiku sijalala
[?]
kwanza unang’aa [?]
[?] sio uganga ni mapenzi
of course, yes of course, ni l*o*v*e
…
(ni l*o*v*e)
[chorus]
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(haki ya mungu sikuachi)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(hata nikiota mustache)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(nitakuoa mwezi machi)
cheusi mangalaa
mangalaa
cheusi mangalaa
(usinizingue, nikiku*approach)
[interlude: ordinary]
njoo bhana, njoo bhana
eh
nitakupa hichi kiatu
unakulaga madafu?
njoo, eh mama
mweh, eh mama, he
he*he, he
[verse 3: ordinary]
uh, ashenale ngai
ulivyo nona kama beli la mitumba, mai
ukila kona, mi nashindwa kusemaga bye
wanasema eti umenipiga kipapai
kwa rehema, nikifumba macho, ‘na fly
kukupenda sina hasara, mi sifikiri
nanyoa kipara juu ya kipara, ‘chenye digirii
ziwa manyara, muache njere ale singirii
nakupenda mama, nipe mapendo
ukiniacha bhana, mbona ni skendo
na ni noma kama meno za tembo
huku kwetu ni raha, hakuna karaha
watu wanafuraha kila masaa
nakupenda na msumari mi napigilia
fanya fasta we ndio mwali nakufikiria
watu wale hata ka wali kwenye sufuria
ma pilipili kwa mbali, nyama ya ngamia
mtoto kaniletea asali, leo najilambia
noiz arachuga, he*he
Random Song Lyrics :
- ai rồi cũng thay đổi - lâm chấn khang lyrics
- i am you - yantras lyrics
- the greatest gift - victoria banks lyrics
- random violence - jakprogresso lyrics
- oxygen - ghost care lyrics
- ur mom - puppetas5 lyrics
- jo swisher - 10ta lil a lyrics
- watchout - evil engine #9 lyrics
- нету места (snippet 06.04.2024)* - rizza lyrics
- make no sense - ali as lyrics