bondi - jambo squad lyrics
[intro]
(instrumentals)
grandmasters
[chorus: juma nature & ordinary]
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
(ha, yeah, yah)
[verse 1: ordinary]
nasikia pesa ni tamu
nikizipata nitazila je
tutajirusha je, tutajiachia je
tutawazingua je
kwani mamilo niaje?
(pesa makaratasi, ma)
malizia kuchana nywele
leo tutayumba, yumba je
club tutalewa je
halafu nakupenda je
(mwaaah!)
juzi kati ulisafiri, ordy’ nilikuwaza je
nilikuk*mbuka je, nikasema bora uje
unajua nikafanyaje?
(kwani ulifanyaje?)
nikauza koti la suti, nikatuma nauli uje
man fe alinicheka je, nilikasirika je
nikiona pochi ya mzungu, mikono inaniwasha je
baby, vunga mi ni mtundu
nikikwapua nitaraba je
nasoma ramani au mpenzi unaonaje?
tujifanye hatujuani, ukizingua utapigwa je
maturu utatoka je
[chorus: juma nature]
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
(conversation)
[verse 2: n*gga c]
we ndio mamilo w*ngu, ‘mamalai
juisi yetu ‘loshoro
tukulu sidai (cho)
nataka tutoke leo ni happy day
nami sitaki kamwe kukuuza, ‘unasemaje doi?
penzi letu ni la moto moto, halipoi
na kwenye ma zero*distance, we ndio hawakutoi
kama we ni swala, basi mi ni chui, tai
ama mnyonyo wa ngalimi, nitapiga kikoi
na kwa furaha n*gga naogelea kwenye karai
nimeeka bondi koti ili twende tukajidai
tukajimwae, mwae ‘mi nawe tukafurahi
tuwe hoi, tujikute tumezima asubuhi
tuwe na helikopta kama utandu wa buibui
ma snitch watatupita, watajifanya hawatujui
mamalai siwezi lie
niko na wewe everyday
n*gga stop (?) chali, oh, oh, oy
[chorus: juma nature]
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
nimeweka bondi koti langu
mpenzi chana nywele twende disko
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
twende tuka party, kwenye party
na kutembea na ukuta
(instrumentals)
jambo squad
…
jambo squad
(grandmasters)
jambo squad
watoto wa bibi kokoo
Random Song Lyrics :
- first light of dawn - handong (dreamcatcher) lyrics
- our magic - houkago tea time lyrics
- tokyo sampo - good sleeps lyrics
- no love (korean ver.) - jun. k lyrics
- profondo - ensi lyrics
- espacios - genderlexx lyrics
- bare skin - louie knuxx lyrics
- reality - yanni 2k lyrics
- don't call me angel - georgina hill-brown lyrics
- flip - will cherry lyrics