fanya yako(mind your business) - jaivah lyrics
intro;(what…uyasbona siyenzani)
verse 1
mitaani mara oogh,jaiva ameshakaa kimya sana kurudi tena kwenye mziki hatoweza
chuoni mara oogh,bilnas ameshafika mbali sana k-mfikia hatoweza
utackia mara flani anavimba
eti cku hizi nae anajua kuringa
hata maskani kaacha kutimba
masele vp mbon cku hizi mnanpnga,(aaagh)
mara tumemkuta club ametinga
mara tumemkuta kati anapenga
eti nae anatmbea na sepenga
hajampenda kuna kitu amelenga(kiki au..?!)
bridge
achana na mambo yangu(fanya yako)
hujui ya familia yangu(fanya yako)
kwanza huna faida kw-ngu(fanya yako)
kaa mbali na dili zangu(fanya yako)
chorus
(oya oya weeh)sitaki ujinga
(oya oya weeh)
(oya oya weeh)sipendagi ujinga
(oya oya weeh)
aaagh aagh sitaki ujinga(oya oya weeh)
(oya oya weeh)na cpendagi ujinga
(pliz get serious man)
verse 2
kuna mwingine anakufuatilia mpka unajiuliza
(nimzingue,nimwachie..!??)
na kuna mitaa mingine waswahili mapka unajiuliza
(nivumilie,nikimbie…!??)
na kuna marafiki wengine w-nga
kutwa nzima wanashinda kwa waganga
na sio kwmba mambo yao wanajipanga
ila n kukuletea tu majanga
j-po unaweweza kweli ukajichanga
ila havitaisha vimbw-nga
na kukuonyesha walivyojipanga
wallahi watavunja hadi n-z- changa
kwanini umvumilie mtu asiye na faida
hilo nalo swali la kujiuliza
maana kila kitu ukichukulia barida
amini cku atakuja kukuliza
na co kila kitu cha kuendekeza
maana kuna watu wanajilegeza
watoto wa kiume nao kwa kupenda kuteleza
ila haina shida nyuma mmependeza
(mambo mbaya)
bridge
achana na mambo yangu(fanya yako)
hujui ya familia yangu(fanya yako)
kwanza huna faida kw-ngu(fanya yako)
kaa mbali na dili zangu(fanya yako)
chorus
(oya oya weeh)sitaki ujinga
(oya oya weeh)
(oya oya weeh)sipendagi ujinga
(oya oya weeh)
aaagh aagh sitaki ujinga(oya oya weeh)
(oya oya weeh)na cpendagi ujinga
(pliz get serious man)
hook
sasa mambo oya oyaa
ngoma juu ya ngoma haina ngojangoja
tena sicheki na nyani kiboyaboya
nawapgisha kwata kisojasoja eeh x2
(uyasbona siyenzani)
Random Song Lyrics :
- show no love - chase south lyrics
- gehri neend - sikandar ka mandar lyrics
- trend - sidhu moosewala lyrics
- se fuerza la máquina - juan carlos baglietto & silvina garré lyrics
- extra indigo - broke house lyrics
- little girl - monogram lyrics
- gubitelnii - brntpry lyrics
- confusion and clarity - andrew w.k. lyrics
- funeral canticle - john tavener lyrics
- my boyfriend (could be a spanish man) - the aislers set lyrics