unapenda nini - jaffarai lyrics
[intro: lamar]
talk of the town
lamar
i’m presenting to you
jaffarai, fatma
it’s a fish crab cookout, uh
ladies, it’s a fish crab cookout
aah!
[verse 1: jaffarai & fatma]
ayo
napenda wali n*z* ‘mida ya night
harufu yake naipenda, kuukosa sitaki
nakula kwa mikono, ni u*hold tight
sitaki kutumia kijiko, kwani uhondo sipati
napenda kula ice*cream, napenda kuilamba
napenda pia matango matamu ukitoa maganda
sipendi ya maganda, ukiyamenya ndio yana ladha
madogo pia matamu, hata makubwa nakulaga
maembe, madodo ya kufyonza mi na feel
yawe tu yameiva bila hivyo mi sili
napenda manene, matamu na*, usipime
ya kufyonza na ya minya, na yanyonya kama nini, eh
kitu maandazi, makavu yasio na chai
napenda kutafuna, polepole mi siwahi
napenda lisikauke, liwe sana teke yai
likiwa teke sana yaani full vitamin a
[chorus: fatma & jaffarai ]
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi
unakula nini?
sema ili nami nifurahi
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi
unakula nini?
sema ili nami nifurahi
[verse 2: jaffarai & fatma]
maboga pia yanaongeza starch
nayapasua katikati, kisha na mega kama keki
napenda sambusa, scones
kwenye vitu vya chumvi, hauniambi kitu, ‘sitaki
garden nako pia kuna raha yake
na kula ndizi moja, apple mbili tu saizi yake
na balance diet, ‘ili tu ni si nenepe
kwani nikinenepa, ‘f*kwe sito ona raha yake
je, unapenda mkia?
supu ya mkia ni balaa, jinsi ilivyo tamu nasinzia nikila
so i feel like paradise the way i do
kw*ngua n*z* vifuu, bandua utamu wa juu
sio kila msosi mi nakula, mi na machagu yangu
mi nakula kila samaki, ila simpendi changu
kama mayonnaise, lasagna (?)
kukamilisha msosi, kuvikosa mimi siwezi
nikivikosa hivyo hakuna tena appetite
ni sawa msosi mtamu halafu eti usiwe na chumvi
[chorus: fatma & jaffarai ]
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unakula nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unakula nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
[chorus repeat: fatma & jaffarai ]
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unakula nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unapenda nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
unakula nini?
sema ili nami nifurahi, yeah
[outro drop]
Random Song Lyrics :
- non rispondo - fratelli quintale lyrics
- automatic feeling - clara thomas lyrics
- ran to the sun - diego gutierrez lyrics
- lms / pimplegionär - herr trüstedt & herr wiedermann lyrics
- sex in the city - tommy4music lyrics
- no good for me (ill blu remix) - adp lyrics
- please forgive me - yvng chance lyrics
- azelai - kovax lyrics
- mixtape #4 - stray kids lyrics
- last night - lil healix lyrics