![lirikcinta.com](https://www.lirikcinta.com/statik/logonew.png)
naogopa - jack bin lyrics
mapenzi chenga
yakikupiga unasurrender
na wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa
mapenzi chenga
yakikupiga unasurrender
na wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa
wapi mkandarasi wa moyo
wa ukuta wa mapenzi unadondoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka
wapi mkandarasi wa moyo
wa ukuta wa mapenzi unadondoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka
unajisifu umempata
k-mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
unajisifu umempata
k-mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
tena tochi ya mapenzi isinimulike
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kuk-mbuka ya jana
alivyonidanganya
moyo w-ngu ukapiga danadana
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kuk-mbuka ya jana
alivyonidanganya moyo w-ngu ukapiga danadana
kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi
tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
umemteka kwa mali na cheki
k-mbe vyombo anakula muuza magazeti
unayemwita bebi anaweza bebwa kama begi
mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
unayemwita bebi anaweza akabebwa kama begi
mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
unajisifu umempata
k-mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
unajisifu umempata
k-mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
(naogopa)
naogopa(naogopa)
naogopa(naogopa)
tena tochi ya mapenzi isinimulike
Random Song Lyrics :
- fever dream - ben watt lyrics
- elon mózg - adi nowak lyrics
- teacher, teacher - bryan adams lyrics
- i remember - brooklyn west lyrics
- glass jaw - satellites lyrics
- glory - quincelu lyrics
- friday - shadow child lyrics
- glass' theme - the smashing pumpkins lyrics
- trop trop - ol' kainry lyrics
- en el bosque de la china - topo gigio lyrics