dollar moja - j93 lyrics
verse 1 (j93)
yeah
pindi wewe umekesha bar
na wanangu tumelala njaa
nguo zetu ndio zimechakaa
kuu kuu hazifai hata kuvaa
mishe ndio adimu yani hakuna
ukipata leo kesho huna
jiko lin*z*di tu kununa
inabidi uforce upate kutafuna
tunakula raka moja tu
ugali nyanya chumvi kitunguu
tupo kama watu k*mi duu
ili tu ushibe weka maji juu
nooo
tumejichokea
ni magumu yanatuelemea
kote giza wapi tutaelekea
dollar moja ndio tunapotokea
chorus ( melloh)
dollar moja
dollar moja
dollar moja
dollar moja
verse 2 (j93)
wewe ndio baba kiongozi home una familia
kwenu ndio wa kwanza una madogo wote wanakuangalia
akili zao baba ametoka kwenda kututafutia
nikirudi shule kama kawa ugali unanisubiria
unaenda mishe hupati hata mia
umbali mrefu sana umetеmbea
unakaa chini unaanza tu kulia
ya dunia yamekuelеmea
maisha kwetu bado ni magumu
njaa daily inatuhuk*mu
mpaka unatamani kunywa sumu
getto kwa machizi huwezi afford room
chorus (melloh)
dollar moja
dollar moja
dollar moja
dollar moja
Random Song Lyrics :