tumewaka - j 93 lyrics
intro (j93)
yeah its all about time,bom bronx yoh
verse 1(j93)
motomoto nauwashawasha kaambali nitakuunguza ni so
ndukinduki sina mamluki n-z-saka pesa nipo busy na doh
chukichuki hutofika mbali jisogeze kidogo uone hii show
movie movie ona wanakufa maadui wote jay ni commando
d dady nipe cha ukucha
nikiwashe maana k-mekucha
me ndio mchizi nipo sina future
niite fisi wamenipa butcher
eeh
kwanza naanza na bapa
wapinzani mtatoka kapa
hawaelewi vipi me ni rapper
nimesoma sana hakuna supper
nipo fit i got more energy
kaa mbali if you are my enemy
tano nyingi kwa karata kennedy
tun-z-ma yeah i got the hennessey (waooh)
chorus(j93)
tumewaka tumewaka hey hey
tupo liquor tupo liquor store
tumewaka tumewaka hey hey
tupo liquor tupo liquor store
verse 2(j93)
tupo full na wanangu tumejaza tena eeh counter ya juu
abby cool yupo busy busy anasaka wale ni wachumba madoo
mika mbwai na mikono yake anaingiza pay kwa kuchora tatoo
usilete zako fujo cavy mittindo ana mtututuu
tulisaka jana juzi
sasa muda wa kula mbuzi
saka pesa digital wanawake vin’gamuzi
ukiwa tumbo njaa kali huwezi kutoa ushuzi hey
tumejaza nyingi nyama na pembeni ni vileo
kama movie ila kweli tupo kwenye mavideo
amerudi makaveli ni madebe tu leo
sina huruma nashot baba mchunge mwano
chorus(j93)
tumewaka tumewaka hey hey
tupo liquor tupo liquor store
tumewaka tumewaka hey hey
tupo liquor tupo liquor store
outro (gano)
hii chupa imeisha kwani
hey hey(tupo liquor tupo liquor store)
hey
eeh(tupo liquor tupo liquor store)
tumewakaa tumewaka hey hey
tumewakaa tumewaka hey hey
Random Song Lyrics :
- der landsknecht - max bruch lyrics
- webcam logitech meetup có gì nổi bật - savitel lyrics
- wizards in winter (narration) - trans-siberian orchestra lyrics
- i’m sick with you.mp3 - 21dyooxaone lyrics
- not enough - lil stars (chicago) lyrics
- love in the bible - chloe ward lyrics
- fo sure - ck the spitta lyrics
- a world without music - hearing aid lyrics
- llkn (long live king notti) - oy kdotty lyrics
- instabile - maikeyo lyrics