million feelings - j 93 lyrics
intro(j93)
d*mn ,i`m thinking of a lot of things in my head
its like ,its like i’m missing some one, its like i’m lonely
but its a million feelings oh
aah
chorus
hivi ni kweli ama naota
kwamba haupo nami wajanja wamekuokota
na vile nakupenda oh salale si nitasota
ningejua ulipo haki ya nani ningeufata
penzi lako mndio linanipa uchizi
kila nikik*mbuka me nakosa usingizi
machozi yananitoka kila moja k*mbukizi
kama nimekosa ungesema nikuplease
siulisema unanipenda hatuwez achana
siulisema utananipenda usiku mchana
siulisema uanipenda tunaendana
si ulisema unanipenda tunafana
ila mambo mengi yametokea
mimi binadamu siwez acha kukosea
ungeacha tu yapite mbele tuweze endelea
bado najiuliza vipi haya yametokea….
chorus
million feelings in my head
i got million feelings in my head
million feelings in my head
i got million feelings in my head
verse 2
piga simu yako haupokei
hata ukipokea sometimes hauongei
hata ukiongea maongezi hayaendelei
mpaka nashangaa nini umepata bae
najiuliza umepata mwenye speed
mkwanja wa kutosha handsome kanizidi
bed yupo moto me ni lazy wa baridi
ndio ukaona kuniacha huna budi
d*mn
wapi nitaweka sura yangu
nini nitasema mbele ya washikaji zangu
maana nishatamba sana wewe ni wa kw*ngu
ila umenimwaga nipo zero sina changu
ah mambo kibao nawaza hayaeleweki
usisikie huu upweke hauzoeleki
moyo w*ngu w*ngu upo hoi umepata crack
million feelings in my head mpaka sieleweki….
chorus
million feelings in my head
i got million feelings in my head
million feelings in my head
i got million feelings in my head
Random Song Lyrics :
- neva believe you - mavado lyrics
- stańcie przed lustrami - róże europy lyrics
- havet - bendik lyrics
- beats n' rhymes - kev brown lyrics
- più che puoi - nesli lyrics
- cracked actor (live 1973) - david bowie lyrics
- aphasia - pinegrove - cavetown lyrics
- you are the one (adam freeland remix) - shiny toy guns lyrics
- bã¡lban - vad fruttik lyrics
- 1945 - laura närhi lyrics