hey jay! - j 93 lyrics
intro(j93)
let me talk to my soul(let me talk to ma soul)
let me talk to your soul(let me talk to your soul)
let”s talk to our souls(let’s talk to our souls)
verse 1(j93)
hey jay, k-mbuka ulikuja peke yako jay
na utaondoka peke yako jay
maisha hayana promo so usipende kujishusha jay
fanya unachoweza usikufuru jay
ongea na mungu wako ndio boss jay
akupe neema ili uweze pata jay
usiogope loss ukitaka fanikiwa jay
usichachawe wakikutenga jay
wala usichukie wakikuponda jay
kamwe huwezi ona chogo lako jay
kama wana diss hadi mungu wewe ni nani jay?(wewe ni nani wewe ni naniii)
penda nafsi yako
penda mungu wako
hata na jirani yako jay
kufanikiwa ni hatua jay
so pambana usipende shortcut jay
usibabaike na uzuri jay
wengi wao mashetani jay(mashetani mashetani)
njia yao ni ya moto jay
usifatane nao wanaotangaza wameokoka jay
maana wamevaa vya ukoka
hawaogopi mpaka mungu wanamkopa
nusu binadamu nusu nyoka
usistuke pale wote wanapokugeuka
jay wapo watao kuchukia
bila sababu hata na tatizo pia
wengine michongo watakanyagia
ili wewe ukose so furaha kwao hutimia(hutimiaa)
kuna kichwa na mkia
so mtoto anaweza lisha familia
utaishi mara moja changamka nini unangoja jay?
Random Song Lyrics :
- miss almond - haych lyrics
- borderline - camp kubrick lyrics
- organics - bryce trent lyrics
- good old days - shouryajackr lyrics
- hard to cope - dare lyrics
- weekendowy korsarz - sławomir lyrics
- paradise - voltage lyrics
- people should be friendly - bill fisher lyrics
- misfit paradise - evelyn cools lyrics
- stunna 4 president - stunna 4 vegas lyrics