sina hakika na kesho - ison mistari lyrics
swahili :
v-ss 1
nilianza kula nyie madogo kabla hamjatambua kunawa /
enzi haji anaitwa chogo
na mshkaji alikua mabawa /
club fuji na bwawani
nani aliitambua ngarawa /
enzi super star n i
kabla ya hajatumia madawa /
enzi nawaza kua mbaraka
ili tuifufue 2 berry /
na zulu nishaka
mada kikaburu isinge feli /
“mathar f—-r ”
wanauzima mzikiw-ngu kwa singeli /
na magumu niliyopitia k-mshinda fundi baskeli /
enzi napiga soccer
nafunga pasi za mido /
zfa muando wa penseli
kabla ya speedo /
nilipo skia 4 nature sk-mtambua davido /
shahidi zenji kijiwe produser alikua mapigo /
shot mwana wamwenda chals na black mastar /
emmy c dj side flash akachipuka fastar /
hatuk-mjua show dady pasha
hatuk-mjua darasa /
nakunjua pepar nanyonga biti nageuka rastar /
leo hatumjuimjui mr gun
na tuna c-ck ile mbaya /
kabla ya labi one
hakuna cha c 9 wala more fire /
dorica na baby jay na ni alimtambua nakaya /
enzi alhaji yb
kabla ya fahad kuenda ulaya /
nipo kabla ya akhenatho /
mlokole hajaijua sabato /
dem wako alikua kijacho /
leo ndugu ndo wavimba macho /
mamluki mkaja wengi kuibadili /
“mkatugawa ”
rico na hafidhi nao wakaivunja swahili /
choruss
jana na leo jana na leo
sina hakika na kesho /
sina hakika nakesho /
sina hakika na kesho /
v-ss 2
mnoimba leo hamkupaswa kua levohii /
muulizeni mr mike atajibu mwambieni c /
tumechoshwa na oyoyo
za bob mtoto wa g /
na mfalme wa zenji ni mimi
manzese muachie madee /
rip ras midude chuchu radio zin-n-lia /
wenzenu wananadi ushoga
na promo wanatubania /
marapar wamejazwa uwoga
watumwa kupindukia /
shabiki wamesha mkoroga
mk-mboni katumbukia /
game jua kali sio mpini inawaka shoka /
wanampa promo rayvany
abrammy lini atatoka ??/
leo atamjua shafi
hamjali kabisa soccer ? /
maskani kirohosafi
washkaji wamesha kuchoka /
leo media zinakosa story mjimkongwe unaporomoka /
chidi anamk-mbuka tall
maana muda tu ametoka /
presenter amepanda mori
naona povu lina dondoka /
kama nili kosea i am sorry
mwambieni dj choka /
naiona kesho ipo too sad /
game ina new pad na muda wakuniweka juu kama tumelo
na blue bad /
wakizima mindo sola
nawamiminia muangaza /
nawachapa bakora booth nawakimbizia kipaza /
nasaka kilicho bora naishia nyumbani kwanza /
mistari nachora poa ndio sera za good father /
nitakufa mimi manenoyangu yataishi /
hivyo usiniite and aground etikisa yupo chaby six
chorus :
jana na leo jana na leo
sina hakika na kesho /
sina hakika na kesho /
sina hakika na kesho /
over
english :
verse1
hey kids i started eat before you discovered washing your hands/
once haji have been called slop and dawg was mabawa/
club was fuji with bwawani who knew ngalawa/
once superstar n i before used the drugs/
once i think being mbaraka in oder to unleash 2 berry/
and zulu is shaka murder for kaburuhood would never fail/
mother f…..
they switch off my music for singeli/
with toughest way p-ssed more than bike’s technician /
once i’m playing soccer i score through mido’s p-sses zfa moves as pencil before speedo/
while i heard 4 nature i didn’t know davido/
zenji kijiwe was witness producer was mapigo/
shot son of mwenda chals with black master/
emmy c dj side flash rised faster/
we didnt know show dady, pasha we didnt know darasa/
i unfold paper i squeeze beat i change to rasta/
today we don’t know mr gun and we c-ck more badly/
before labi one
nothing c9 nor more fire/
dorica and baby j who knew nakaya/
once alhaj yb
before fahad goes european/
am around before akhenatho/
mlokole before know sabato/
your chick was baby to be/
today relatives are selfish/
betrayers were coming many to change/
rico and hafidh and they, break swahili
Random Song Lyrics :
- on m'a dit - demi portion lyrics
- hungover joint - the palmer squares lyrics
- enemy - sara lumholdt lyrics
- alcohol amnesia - colton brown lyrics
- oto ja - tymon lyrics
- an tagen wie diesen - kay one lyrics
- crazy kid - k-lem lyrics
- devil's arms - ryshon jones lyrics
- dcp - hqa lyrics
- young, wild & free (remix) - sizzle lyrics