wacha kunipima - is this abdul lyrics
wacha kunipima lyrics
[intro: is this abdul & addy]
turn me up turn me up!
turn me up mahnnn
turn me up turn me up
yoh!
(abdulisthatyou)
[verse 1]
yoh!
juzi nilikuwa grao(grao), nikafunga bao tano
zilikuwa kama tano(tano), nikasikia mrao
nikapanda city shuttle(shuttle), nikaenda tu tao
vile nilifika tao(tao), nikapata sina mask
polisi wakinishika(shika), wakanipiga ngoto tano
wakaniuliza ukona ngapi(ngapi), nikawaambia nikona 22 years
mmoja akanipiga ngoto, zingine tano(tano)
manze nilipelekwa ndani(ndani), nikakaa mpaka usiku
nilikuwa na bandana kwa kichwa(kichwa), na nyong’inyo za moncler
nikak*mbuka eid mubarak, nilikula githeri na nyama(nyama)
[chorus]
ayyy ayyy ayyy ayyy(ayyy)
uliongea mbaya ukakuja na mbogi(mbogi), mi nakuja na madogi
simba ya black na rex ya brown, na white inaitwa atoti(toti)
ayyy ayyy ayyy(ayyy)
[verse 2]
ni abdul kwenye bass anapiga kelele(kelele), na nakula peremende
nishaipata mende ndani ya mchele(chele), nikaimeza na maji ya sembe
anataka nimpelekе date na ndege(ndеge), na sina hata fifty
mkona propaganda, kash*sh*(sh*sh*) nitawapiga mateke
ushaikula githeri na ovacado(cado), supu ya omena na ugali na chapo(chapo)
kuna time pedi wa mutura, alienda ush*go
nikakaa wiki kadhaa(kadhaa), bila kula mutura
i swear nilikuwa mgonjwa(gonjwa), nikashikwa na trauma
nikaenda hospitali(tali), kuongezwa flava ya mutura
jamaa wa mutura kutoka tu ush*go(sh*go), akafungua biashara
alikuwa anakata ya 10 10(ten ten), mpaka ikafika thao(thao)
vile hiyo thao iliisha, nikaamua ni rent
usiku kwenda kejani, nikapata caretaker
nikajaribu kusmile, akaongeza kifuli kwa mlango
nikapita kwa dirisha, joh mi siwezi lala nje
asubuhi tu ikafika, nikapata mabati mbili hakuna
ayyy ayyy(ayyy)
nakula mahindi na supu ya mchele, wabebe wabebe
ayyy ayyy
wabebe
Random Song Lyrics :
- imenik - stanojka mitrović ćana lyrics
- влип (vlip) - cupskitt lyrics
- dark conclusion - qwedacakk lyrics
- idle time - the din pedals lyrics
- réel - papi* (papinitoloco) lyrics
- ignite - chyl & haus of panda lyrics
- akula 2 - neskxfe lyrics
- loverboyzaintshit - .wavs crew lyrics
- minister for ganja - rapper robert & jim brown lyrics
- harlequin - dead $heep lyrics