nitakupeleka london - is this abdul lyrics
[intro: is this abdul & addy]
unapenda london, ama unapenda nairobi
baby unapenda kisii, ama unapenda mombasa
baby unapenda london, ama unapenda nairobi
baby unapenda kisii, ama unapenda mombasa
unapenda london, ama unapenda nairobi
baby unapenda kisii, ama unapenda mombasa
baby unapenda london, ama unapenda nairobi
baby unapenda kisii, ama unapenda mombasa
(abdulisthatyou)
[verse 1]
baby unapenda maji, ama unapenda soda
unapenda mandazi(mandazi), ama unapenda chapo
unapenda tu u fresh(u fresh), ama unapenda ice pop (ice lop)
unapenda kamande, ama unapenda (kamande) ndengu
unapenda jordan, ama unapenda mohawk
unapenda iphone 12, ama unapenda tecno
[bridge]
twende basi kwetu baby ukaone nduthi
twendе basi kwetu baby ukaone nduthi
tukona mbuzi mbili,(bata) bata na kuku nne
tukona mbuzi mbili, bata na kuku nnе
[chorus]
baby unapenda maji, unapenda ah soda
baby unapenda mandazi, baby unapenda chapo
baby unapenda u fresh, baby unapenda ice pop
baby unapenda kamande, baby unapenda mohawk
[refrain]
oooh uuh oooh ooh ooh ooh ooh
nitakupeleka london, nipe tu time
baby nikona soo moja, sina ata change
[verse 2]
(yeeee)
unapenda njugu, ama unapenda njuguna
baby unapenda maini, ama unapenda maina
baby unapenda kamande, ama unapenda kamande
baby napenda njeri, pilau njeri
(yeeeeeeee)
unapenda njugu, ama unapenda njuguna
(yeeeeeee) (oooooooooh)
baby unapenda maini, ama unapenda maina
(yeeeeeee) (oooooooooh)
baby unapenda kamande, ama unapenda kamande
(yeeeeeee) (oooooooooh)
baby napenda njeri, pilau njeri
yee yee yee
Random Song Lyrics :
- hurts so good - felicia lu lyrics
- nie ma z kim pogadać - ptaku lyrics
- bekle demekle - burak kut lyrics
- paradise - regzy lyrics
- kopnięcie łosia - młyn kielce lyrics
- ngenteni janjimu - safira inema lyrics
- 1969 - conrad - razz lyrics
- byen er ond - hjerteslag lyrics
- i’m a slave for you - 川口レイジ (reiji kawaguchi) lyrics
- who you know - treynxtup lyrics