hamnipati - is this abdul lyrics
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[verse 1]
love in the air funika mapua, mi ni og siku hizi huwa siogi
usiku nilikuwa disco matanga, kidogo saa sita nikasikia happy new year
siku hizi bae anachekeshwa na alby, ukishuta na hasira si utajikunyia
we ni wa yellow ama azimio, pea uyo mbleina tissue anasikia kup**poo
na ukinicross marithe za p**poo, napenda p**poo nilizaliwa pumu
huyo kienyeji anajiita rihanna, akona puppy kaumbwa na dogi
manzi yako anapenda dogi, ako kwa mbogi anakulwa ka mbinginji
kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[verse 2]
it’s a boy mi humletea apc, bro ukiingia ni uingie na gumboots
juzi diani nilikuwa na auntie, akaniuliza ka najua kuendesha gari
nataka harrier mi nataka bentley, akasema my boy usikuwe na wasi wasi
sina talanta sina kipaji, lakini naeza andika ata kuliko jay z
masaa ingine mi hukaa juu ya mabati, morio ako kajaba morio ako mafuaka
si zimeshika si zimeripoti, kwa party na pull up na color green
ushaiona mawe ya chuma, hapa tunakufanya ka gidi na ghosty
k*mbe wafula aliachwa na bibi, this year nataka collabo na jerry
[chorus]
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati
mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati
[outro]
hiyo ni kikombe ya yellow, hiyo ni kikombe ya yellow apo
eeh ebu hii watch yangu sasa
kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere na ukinicross marithe za p**poo p**poo p**poo
Random Song Lyrics :
- octavos: teko vs. danié - red bull batalla de los gallos 2007 lyrics
- direct deposit - young wag lyrics
- cigarettes - dave trautz lyrics
- faze up freestyle - microwavegod_ lyrics
- hold it in - bino rideaux lyrics
- rumors of knives - the ready aim fire! lyrics
- colpa mia - alfaside lyrics
- findin' my wave - boise boi lyrics
- fue en un café - los fugitivos lyrics
- are you down - stevie bizarre lyrics