good morning babeeey - is this abdul lyrics
[hook]
nakula ugali kavu na mawazo ya nyama ( nyama)
good morning baby ndio na achiliwa na mumama (maaama)
na shindwa chapo ama chipo nikona salasa (laaasa)

[verse:1]
i give f*** whose down mi hulipisha
niko curious i’m never serious
mpanda ngazi amekata kushuka
na lala chini niliuza kitanda
ukona lighter si tuashe kimoja
mi si human manzee na vuta nitrogen
na move fast kama tesla electricity
ni introvert akona confidence ya akothee
(na shindwa chapo ama chipo)
vibe haikuisha ulikuwa fake throughout
na bae anasema ataolewa na mzungu
me si handsome but nataka leng ting
vijana tuache mihadarati
hii githeri haina beans na haina may
ameni nice lakini sina ganji
tukienda date maybe akunywe chai
huwa sikati kama si fanta ama chai
(hii githeri haina beans na haina may)
ni brown skin lakini anavuta safari
(fear women haimaanishi ukose dem)
[hook]
nakula ugali kavu na mawazo ya nyama
good morning baby ndio na achiliwa na mumama
na shindwa chapo ama chipo nikona salasa
nakula ugali kavu na mawazo ya nyama
nakula ugali kavu na mawazo ya nyama ( nyama)
good morning baby ndio na achiliwa na mumama (maaama)
na shindwa chapo ama chipo nikona salasa (laaasa)
nakula ugali kavu na mawazo ya nyama ( nyama)
(abdulisthatyou)
Random Song Lyrics :
- draco fire - xavier galatis lyrics
- fed up (freestyle) - protectfarm lyrics
- vaw.detnuah - worstbled lyrics
- vengan todas - horny man & panty man lyrics
- minecraft - fem.love lyrics
- thoughts & prayers - itchy lyrics
- navidad rock (jingle bell rock) - tatiana lyrics
- brother's back - candy butchers lyrics
- хочу напиться - ostap partyka lyrics
- no way out (feat. danny towers) - cxill b lyrics