lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

for you - iodine kenya lyrics

Loading...

ah lalalalalala
lalalallallallalallall

mburingo na ngaii
natamani nikupe ila sina
hati miliki ya dunia nzimaa
nikupe vyotevyote vya dhamanaaa
karne porche,ferari, gucci au gavana
najua unanipenda namiii nakupenda pia
so usije niacha mwaya penzi nikalijutia
yani kitandani magori unavyio yafunga ka (mariga riga)
katoto fine, rangi ya wine, ka kitembea (kanaringa ringa)

piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma*exi, wakitucheki
oleee waooo
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma*exi, wakitucheki
oleee waooo

aaaaaala alalala
(lemme siing for you) aaaaaala alalala
(dedication for you) aaaaaala alalala
(let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(coz beibe i lovе you) for you, for you, for you
wanna sing for you for you
na usijetekwa na mbaba doro ukaniachaaa
ukanizimia simu, nikipiga mteja
bado nahustlе kesho nikuzawidi kiwanzaaa
bora piga goti sali niombee ebenezarrr
maana weeeee ndo daidai (nae dai, nae dai, nae dai)
every night and day (ndo, nadaidai, ndo, nadaidai)
weee wa wapekeeeeee (ndo, nadai, ndo nadai, ndo nadai)
in the dark and light ( ndo nadai, ndo nadai)

piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma*exi, wakitucheki
oleee waooo
piga selfie, tujiposti
beibe love, beibe love
na ma*exi, wakitucheki
oleee waooo

aaaaaala alalala
(lemme siing for you) aaaaaala alalala
(dedication for you) aaaaaala alalala
(let me sing sing for you) aaaaaala alalala
(coz beibe i love you) for you, for you, for you
wanna sing for you for you

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...