godfidence - illmatix lyrics
[verse i: six o’clock]
sitaki k-mjua nisiyemjua hivyo anijue kwa hatua
wanaonijua hawajui kwamba nilivyo tofauti wanachojua
unamjua 6 0’clock au
unamjua saa sita wa machizi aliyekuwa
mchizi aliebahatika kunifahamu kwenye menace bahati mbaya
dogo hajabahatika kunijua
jifunze kuongea nami, jitunze utembee nami
ukuuze kisichokuhusu kuhusu mimi huko mitaani
i don’t give a f-ck, nipo na illmatix army
picha unapiga na sionekani
machizi gani wanafiki, mitaani wa hali gani
walafi wa hisia zangu, saa sita hafi mwakani
napita hizi vita, ushindi ndiyo wazo pekee kichwani
toka mwanzo full makeke na bado nipo ramani
wanachukia wakipata taarifa
kwamba saa sita wa sasa amepewa nyadhifa, maarifa na nyingi mali
taarifa ni kwamba, wananichukia tu kwa hili gari zuri
hali inaonekana na sifa, dharau kali
bila shaka mti mkavu haupigwi mawe, habari
nyoka mwenye mbavu niko kavu kwa safari
nachanga salary, nisalimike, niweze inuka nilipo sasa ni bado usiku kucha, bro silali
aminia mashabiki bila idadi, illmatix familia
yo, na hii ni kazi napalilia midadi, jembe
nauza genge kwenye fleva, asilimia zatosha kwa hivi vipaji
tafuta wafalme bila mataji
utanikuta kisiwa kisicho na maji
yeah, yeah,..yeah
[verse ii: i.d]
bado nawasha bila nali, haswa waka bila kali
acha tunawashawasha, vipepeo tuone hatari
sasa msala, kaza, tunaamsha kama ndoto za alinacha
najua wanapo kaa ka’dalali, insha’allah
acha walete beef, mziki ugali kama nature
mwana, upuuzi mdogo haunihusu, nikianguka watapenda sana
mkwara wala, niko ndani ya nyumba itanijenga sala
na bang kama shabba, navyolenga mwana
chocho la wabishi na wabishi, mama, mwana anakufa mtu hadi mazishi laana
mamba wa viboko, hadi madingi sa’ na gwiji, hustler
kata kila upande, ka’kijiji mwana haupiti hapa
wana-envy nkitimba haswa, niwashenzi
mchana mpaka giza, master maisha yangu movie ningeigiza mwana
kodi za kisomi ka’ udsm sana
mmoja wao nina-ball kama timu mwana
cheche kila waya boss, tunawakawaka mpaka msala; shoti
kazi flow bei mbaya kama kaa la noti
noma, niko na mtoto anamzigo ka’ anahama boss
msala; floss; mzee… watoto hawaachiwi ka nyapara boss
acha walete beef, hatujala boss
akiba ya maneno, mkataba boss
nawasimamisha kama daladala boss
hakuna mkwara, moshi; wash-gwaya boss
nna bidhaa kama sabasaba boss
na nnapaa, cost ka’ nnagamba host na nnatema bars kama…
amsha wakilala njozi
bado niko moto nikipasha
hapa boss sishikiki, hata ukinikamata boss
hapa mkosi, hutoweza beef kale bata tozi
bila noti ninasimuliwa kama mkanda tozi
hahahahaa, nikicheka ujue mkwanja tozi
washapost; wapi tukiwaka watasanda boss
nipo juu kama ungo bila mganga boss, illmatix wanatupata tozi
Random Song Lyrics :
- if i saw you again - marion harper lyrics
- xo tour llif3 (remix) - ali tomineek lyrics
- interlude - buku bandz lyrics
- copycat - phoenix lyrics
- you only tell me you love me when you're drunk - splendid lyrics
- uğurla bahtiyarları - sagopa kajmer lyrics
- harlan county - jim ford, lyrics
- disaster - abel fourlines lyrics
- yö peitti sinut - samuli putro lyrics
- голос (voice) - insomniafs lyrics