naamini - ibrah nation lyrics
oyeye yaaah ayaah
mmmh yei yei eeeh aaah yeiyeyeye
baby pamoja na yote niliokupa pia nilikupa moyo w*ngu ili ukae nao
ooh leo upendo unanifanya nalia machozi
ya furaha mboni yangu imeshindwa kutazama.
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia me nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli lipo kw*ngu na we hujaridhiaaa aaah
bado naamini (mi naamini)ntakua na wewe (mi
naamini) j*po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wew
bado naamini(mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j*po uthamini(mi
naamini) ila ntakua na wew kua na
wee aaah aaah aaah mmmh yeyeyeeeh mmh
kama ni kosa mi kukupenda wewe semaga unanichukia aaah marafiki
wanasemaga halifichiki pendo mamio nikikuona
mwenzio najawa na furaha nakufikiria sana waah
(pendo langu umelizima ka mshumaa
umenidharau umeninyima hata heshima)
kama wamekwambia mi nakuzingua amini na siku moja ukweli utaujua
hutofurahia penzi bandia na kweli nipo kw*ngu na we hujaridhiaa aah
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew mi
naamini) j*po uthamini (mi naamini)ila chaguo langu ni wee
bado naamini (mi naamini) ntakua na wew(mi naamini) j*po uthamini (mi
nnaamini) ila ntakua na wewee kua na
weee eiyeiyee aah love you babeee aah
Random Song Lyrics :
- crip hop - snoop dogg lyrics
- my prerogative (wunderbros dubstep mix) - bobby brown lyrics
- a conclusion - polaroid lyrics
- usputne stanice - mile kitić lyrics
- heartbreak heartthrob - maya by name lyrics
- primetime - intence lyrics
- pressure time - skillz lyrics
- navidad navidad (jingle bells) - luis miguel lyrics
- greatful - reece wiltshire-fessey lyrics
- jupitery - tuzza lyrics