lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wandoto - ibraah lyrics

Loading...

nahisi kama naota
na k*mbe reality tayari
aliyefanya nateseka

ni wewe

na nafsi inachochota
najipa imani sijafeli
nahitaji faraja
hata chembe nipewe maa

macho pembeni nisikupe pesa
kwako yaani nishafika
k*mbe makucha uliyaficha
na ushanikwarua ooh

na zangu hisia umeziteka
nilipokosea sawazisha
usije hadharani kuanika
ukaniumbua oh nah nah nah

na nakuombea mungu
akuepushe na mabaya
hali dhiki mafungu
ila la kw*ngu ndo limepwaya

nalia nalia kwa uchungu
umenitoroka nyuma ya idhaya
ni wewe j*po nilikudhamini
na nikakuitaga

wandoto wandoto
wandoto, wandoto
ah ni wewe wa ndoto
leo penzi umeliweka vikwanzo

wandoto wandoto
wandoto, wandoto
wandoto uliyekuwa ni wewe
na kichwa umekiachia mawazo

(oooh ooh, aah yeiye)

kweli usiku wa giza usilolijua
sikuwaza, sikudhania kuwa utanibagua
sa unafikiri nani wa kupika pakua
ni wewe

kishida kijiba cha roho mwenzako naugua
haya no commando siwezi jipindua
nawe ndo dereva umezamisha mashua
ni wewe ni we eh

ila mwenzako bado bado
moyo unasonona
manati bila kipago
nikuulize wapi uliona

mi nina uzoefu wa kufunga goal
uvivu wa kufua foronya
yaani siamini yes umegeuza no
na kwako mi mtoto nahitaji nyonya

wandoto wandoto (ni wewe)
wandoto, wandoto
ah ni wewe wa ndoto
leo penzi umeliweka vikwanzo

wandoto wandoto
wandoto, wandoto

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...