lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nimepona - ibraah lyrics

Loading...

weweee eenh eiii
ooouuhh
it’s dady again

macho yangu yanatamani kukuona
ila moyo umegomaa
umecheza na hisia zangu
k*mbe si fungu nilichagua koroma aahh
mi nashangaa macho yanatamani kukuona
ingali mabaya yalishuhudia
na kidogo nilichokua nacho ndo kilifanya ukanikimbia
yani kama nilichomwa na mwiba maa
maumivu yakanipa shida naa
si ungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu weeh
mana uliyoyafanya sio yakawaida maa
je ungeniua na cha roho kijiba naaa
nikajikokota uku nikimuomba mungu w*ngu kutwa aniponyee

sio kwa ubayaaa
nimejiuguza na nimepona
mmh wewe
nimejiuguza na nimepona
mi mzima wa afya
nimejiuguza na nimepona
yanilitesa ila sijafaa
nimejiuguza na nimeponaa
uuh yeeeeh uuuuuh!

wenda uliwish nipitie mabaya
moyo wako si umejenga chuki sawa sawa
changu kidege umeota mbawa
haujaniuza bure bure umenigawa
nenda utapata anaekupenda wenda utampenda babe haayaa
mi kosa langu kukupenda ukaniona mwana kwenda haaayaaaa
nilivyoongеza upendo mabaya ulifanya dhahiri kwa vitendo
k*mbe ziro malеngo kw*ngu ulifollow tendo
zile baby baby we k*mbe ulinizuga tu baby
yani kama nilichomwa na mwiba maa
maumivu yakanipa shida naa
siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu wee
maana uliyoyafanya sio yakawaida maa
je ungeniua na cha roho kijiba naa
nikajikokota huku nikimuomba mungu w*ngu kutwa aniponyee

sio kwa ubayaaa aah yaah yaah
nimejiuguza na nimepona
nimepona nimepona eeh
nimejiuguza na nimepona
mi mzima wa afya
nimejiuguza na nimepona
yanilitesa ila sijafaa
nimejiuguza na nimeponaa
aaaaah nimeponaaa

aaah chinga,konde music world wide yeah
ooohh lalah oohh lalah nimeponaa aahh

it’s dady again

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...