voodoo - hotsea lyrics
[intro]
hotsea
aka voodoo
mara (kama)
ya (kawa)
thao
aka voodoo
[chorus]
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
[verse 1]
najita stallion forever mi ni champion
natumianga milion ka bob kwa trillion
kwa pavilion nipate in oblivion
nimedunga kavest, ngotha chini ni magideon
nahama toka condomonium
ni kweli ka si sheesha nitavuta opium
jaribu kunigusa ndio utajua lithium
si kali kuliko a little sodium pamoja na pot-ssium
[chorus]
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
[verse 2]
tafadhali usibonge niletee upuzi
nikiwa zone ntabonda kama kauzi
eh chali yako ndio naita mbuzi
sijajua leo hiyo nilijua juzi
anakula nyasi mi naeneza ujuzi
hana form forever kazi yake ni kunichukia
coz alisikia
jina ni getusi boss mi narudia
[chorus]
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
[bridge]
voodoo
aka voodoo
[chorus]
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
[verse 3]
romeo na casanova walilala
lakini huyu brother hajawahi kula lala
bila madada kuwa karibu sana
naye chini ya maji chini undercover
ukinicheki around nipige salam ni how
hii sikuplan ni how madam
tukifika kw-ngu leo ni how madam
sitaki unisahau madam ni how
[chorus]
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
hii singengoja mpaka kesho ndio nido
kuroga ni hobby ukiniona niite voodoo
(doo voodoo doo doo doo doo doo voodoo)
[outro]
moseye si unajua singengoja mpaka kesho ndio nitoe ngoma ka hii
si unajua tena
vostee…pimpim
d.u.g…dibby sykes
niko na psyche lakini kuna vile kabeat kameniishia
(hehe)
Random Song Lyrics :
- his love - tegan and sara lyrics
- el espejo - quase anjos lyrics
- ninguem para - suellen lima lyrics
- iaru e ceuci - boi caprichoso lyrics
- a esperança tem voz - padre alfonso maria parente lyrics
- rock, blues & country - willian lee lyrics
- galo cantou - unidade punho forte lyrics
- sou monitorado - mauricio paes lyrics
- eu levo a vida sonhando - milionário e josé rico lyrics
- quiero saber - barbie lyrics