lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

monalisa - herishaa #bongotrapaholix lyrics

Loading...

chorus ☆
oowh nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up x 2
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
thanks god she with me anadamshi bila makeup!
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up

verse 1☆
♡hag me my bae ,kiss me my bae
ishike wap my bae,ndo niko nawe allday
siwez kukuacha my girl hakuna matata unanipa uhakika
wanamind nimebahatika ni zaidi ya bless ulivyo umbika

sijaona bado kama ye ya yaaa’
anipa zaidi ya mapenz ya yaaa
aiseee niacheni sijiwez
nasiiii siiitaji ushauri mnyamwezi

(girl) napenda ulivyo tu
(girl)kama umechorwa tu
(girl) i promise to marry you
(girl)nikupe watoto tu girl

♡nikazunguka the city
my baby girl she with me
kama unabisha njoo check her’
she gat no edit no make up

chorus 2☆☆
♤♤ nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up x 2
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
thanks god she with me anadamshi bila makeup!
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up

verse 2☆☆
♡my baby amejawa nidhamu
mashawty wa mtaa wamekosa fahamu (fahamu fahamu)
my baby ananipa vya hamu
anasema she love me kutoka kwa damu (kwa damu kwa damu )

nani vice veser like you (vice veser)
baby girl my my boo (my boo)
anasupport what i do (my cut)
am her favorite its true!

honey bae iya iyaaholly day iya iyaa
kila napo chill nawe ni holly day iya iyaa,,,,,,,
mamy bae iya iyaa holly day iya iyaa
kila napo chill nawe ni holly day iya iyaa”””””

♡baby girl i ride for ya ,baby girl i care for ya
mwaki in truble, wakaleta midomoo
k-mbe huna mikogoo ,kikamiligado
kama unabisha njoo check her’
she gat no edit no make up

chorus 3☆☆☆
♤nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up x 2
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
thanks god she with me anadamshi bila makeup!
nimezunguka pande za city baby girl monalisa
figure yake patashika anadamsh bila make up

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...