hawajui - hassan mapenzi lyrics
Loading...
ndo walivyo walimwengu ndo walivyo
ndo walivyo mama oh
si tufanye yetu usiogope lolote ndo walivyo mama oh
hawapendi kuniona nikonawe najidaii
nia yao tufalakane ndo wafurahii
waja! wanakaka vikundiii watie dosalii labda
wanatamani ijesiku tuishi mbaliii aa
“awajui kuwa ww ndo mama mi kwa ww ndo baba×2”
wanaumia umia kwapenzi letu sisi
lijawatoa roho.vijiba vya huso .tunawadunga nyoyo
hawapendiii mimi kuwa na wewee.
awatakiiii!!
kama mieleka nishashinda mikanda jonhsina kasha lala
sikudanganyi kwa kimoja kibanda eti nimehenga sarasara
atuekti maisha wenyewe tumelidhiana
mola akipenda siku zijazo twaoana
Random Song Lyrics :
- surreal - icedmob lyrics
- wavy (freestyle) - preech (za) lyrics
- hitchhiker - jumbotown lyrics
- cynical - lord gasp lyrics
- cô gái của tháng 5 - dật hanh lyrics
- señoras (remix) - el reno renardo lyrics
- viento del litoral - imaymana dúo lyrics
- down - czechomoravia drillegacy lyrics
- laf gemileri - und' thegod lyrics
- all the smoke - thadarksaiyan lyrics