tuvushe - harmonize lyrics
taifa limeshapata suluhu
kinachofata ni mipango
na majaliwa
ya mwenyezi mungu
*n*lolipanga mungu
huwezi kulipangua
alitupa magufuli
kisha kamchukua
ametuachia jahazi
na sisi ndio abiria
juk*mu letu ni kuchapa kazi
maana yupo wakusimamia
tutumbulie majambazi
wala rushwa maharamia
wasiotaka kufanyakazi
wapenda pesa zakuvizia
mama tuvushe
taifa zima lina imani nawe
mama tuvushe
hayati jpm
alikutuwa wewe
samia tuvushe
taifa zima
tunakutazama wewe
tuvushe
refarii ndio kabadilika
lakini uwanja ni ule ule
kazi juu ya kazi
tena mpenda haki
mtu wa mungu
fitina hataki
wala majungu
na ndoto za wanawake
shupavu zimetimia
na huyu ndio rais
wakwanza mwanamke
hapa tanzania
mama samia
tunakwenda k*malizia
miradi iliyobakia
pole yenu mnaohofia
aah, mama waonyeshe
unavyotekeleza
busisi bridge
na surrender
madaraja yote
mama waonyeshe
ooh, waonyeshe
unavyotеkeleza
na flyover zilizobakia
mama waonyеshe
ooh, waonyeshe
unavyotekeleza
standard gauge
air tanzania
mama waonyeshe
ooh, waonyeshe
unavyotekeleza
barabara, elimu bure pia
mama waonyeshe
oh, waonyeshe
unavyotekeleza
mradi wa umeme
bwawa la nyerere
mama waonyeshe
oh, waonyeshe
unavyotekeleza
ikulu chamwino dodoma
izidi songa mbele
mama waonyeshe
oh, waonyeshe
unavyotekeleza
Random Song Lyrics :
- capim canela - mc brinquedo lyrics
- seatbelt - atl smook lyrics
- first friend - frøkedal lyrics
- the panic - julia deans lyrics
- on point - bhz lyrics
- not alone - cheryl tugade lyrics
- teksty przejrzyste - djmikson (prod. adam paryż) lyrics
- 핑계 (pingye) - changmo lyrics
- your lucky day - year of the knife lyrics
- dry my bones - the slow show lyrics