sherehe - harmonize lyrics
(instrumentals)
[intro]
konde boy, call me number one
ba*re*ssah
(s2kizzy, baby)
oh, oh, oh
ah, uu*uu*uuh…
aah*ah, ah, ah…
[verse 1]
ukiwa mvivu
ni rahisi sana kuwa na wivu
tulio jituma ‘tuka achieve
usitushangae tukila mbivu
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre*chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
ola*la*la*la
la*la
la*la*la*la*la
la*la
la*la
la*la*la*la
mmm’
[verse 2]
kuhonga kubaya ukiwa huna
ila tulio jipata kwetu ‘sunnah
we jigambe una mkuna, ah
huku ‘walio na meno wanatafuna (bomboclaa*)
mwenye kisu kikali kala nyama leo
kidari kaachwa na jimama leo
kwetu kuna sherehe
oya leo sherehe, oh
mpaka kesho, tumeanza leo
wasio toka, wametoka leo
wameifata sherehe
oya, kwetu kuna sherehe
[hook]
uliwaza mapenzi, tukawaza pesa
mh’
ona yanavyo kutesa
sie kwetu ni sherehe
oya leo ‘sherehe
[pre*chorus]
we don’t really mind hata tukikesha
liwake hata ikinyesha
leo siku ya sherehe
oya leo ‘sherehe
[chorus]
wanangu huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
leo huku
(tuna sherehe)
huku
(tuna sherehe)
huku
(huku ni sherehe, eh, eh)
[outro]
ola*la*la*la
la*la
la*la*la*la*la
la*la
la*la*la*la
la*la
la*la
la*la*la*la
Random Song Lyrics :
- temper, temper - diva bleach lyrics
- heroes and villains (live at carnegie hall) - the beach boys lyrics
- all of us - final day lyrics
- wasabi - rob ace lyrics
- baci stvari na pod - đomla lyrics
- clic, clac, dansez sabots - francis poulenc lyrics
- renegade | 和訳japanese version(romanized) - shayne orok lyrics
- gotham - keii lyrics
- deep in (the battle) - ☯topsongstps☯ lyrics
- up to u - vermisst (band) lyrics