lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kazi iendelee - harmonize lyrics

Loading...

jeshii
mama mama mama mama
mama mama mama mama
mama mama mama mama
kondeboy

awilooo heeeii
mama samia suluhu
awilooo
i say

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele
maendeleo tukiyahitaji wee!
yahitaji
kuchapa kazi
ndio iwe mtaji wee!
iwe mtaji
mama samia
ndio msimamiaji weee!
msimamiaji

see
zege la leo
anamwaga leo
hangojaji tomorrow
elimu, maji, afya, barabara
zipo kila chochoro
basi mama tubebe
kwa mbeleko
watanzania wote
baada ya huzuni faraja
na vicheko
neema tuziokote
na majumba jumba
ya wafanyakazi majumba
ndumba ndumba
mafisadi wasitutishe
na ndumba
watayumba yumba
huku sisi tunasakata rhumba
tuanze
kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

maendeleo tukiyahitaji wee!
yahitaji
kuchapa kazi
ndio iwe mtaji wee!
iwe mtaji
mama samia
ndio msimamiaji weee!
msimamiaji

awilooo heeeii
mama samia suluhu
awilooo
awilooo heeeii
come on, come on
mama samia suluhu
awilooo

mama samia
tunakupenda sisi vijana
mama samia suluhu
tunakupenda sisi vijana

basi mama tubebe kwa mbeleko
watanzania wote
baada ya huzuni faraja na vicheko
neema tuziokote

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

kazi iendelee
tuchape kazi
tusonge mbele

maendeleo tukiyahitaji wee!
yahitaji
kuchapa kazi
ndio iwe mtaji wee!
iwe mtaji
mama samia
ndio msimamiaji weee!
msimamiaji

longomba

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...