jeshi - harmonize lyrics
sometimes what you dream
can be deceiving
na huwezi kuvuna usichokipanda
thanks god for giving
ghetto sikuwa na umeme wala cable
hizi moja t*shirt na yebo
ati leo namiliki lebo
lebo, konde gang lebo
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
siku zote kisicho kuua
kitakufanya uwe ngangari
ata mw*nga huwezi k*mjua
so ishi nao kwa tahadhari
one love kwa wanangu wa insta
nyie ndo mnanunua cd
two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
three love kwa mastaa
zilifanya hasira zizidii
four njia ngumu nilizopita
mkanipa na jina mkasema niitwe (jeshi!)
jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
mi naamini mungu yupo tena
naongea nae j*po sisikii sauti yake
nikianguka ntainuka tena
so usishangae why tembo anahustle peke yake
coz i know, unapokiokota
ndo wakati wakukitunza
ili kesho kisije potea
na unaposota ndo wakati wa kujifunza
ili ujue wapi ulipo upo
sio kama siwezi kujibizana
ila mwenzenu nimeumbwa na subira
ona madili yanavyogogana
coz nina nyota ya libra
siwaoni walotumwa kunitukana
vichwa vyao kimya
tena siku hizi siimbi sana
wacha washindane na ibrah
one love kwa wanangu wa insta
nyie ndo mnanunua cd
two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
three love kwa mastaa
zilifanya hasira zizidii
four njia ngumu nilizopita
mkanipa na jina mkasema niitwe (jeshi!)
jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
konde boy jeshi!, jeshi!
siku hizi wananiita tembo, jeshi!
Random Song Lyrics :
- signals - school of seven bells lyrics
- monkey bee (radio edit) - damon albarn lyrics
- sin city - reezill lyrics
- melody - plustwo lyrics
- loner - mc tufi lyrics
- don't panic (remix) - jeremih lyrics
- nie allein - 2ndfam lyrics
- fall - kyaru lyrics
- uliczny flowklor - ry23 lyrics
- respeito é pra quem? - thaíde lyrics