lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hallelujah - harmonize lyrics

Loading...

(hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
hallelujah halleluuuu… hallelujah hallelujah hosanna

wee ishi kama haukosei
watalao panga halitokei
na kama ikiwa yako haipotei
mmmh ndo wa juu huwaga haongei
ukipata wanasema unaringa ukifulia wewe mjinga
wamezaliwa kupinga hata apangalo babaa ah
ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda
mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa

hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna
(hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
hallelujah halleluuuu… hallelujah hallelujah hosanna
(hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)

piga kila deal inayopay
iwe mbagala osterbay
hakikisha kazi huichezei
maana boss aah
punguza uongo ukiweza kupunga na hongoo
usiendekeze migongoo dhambi kwa mungu babaa
ah ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda
mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa
hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna
(hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
hallelujah halleluuuu… hallelujah hallelujah hosanna
(hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...