lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dear x - harmonize lyrics

Loading...

#intro
inaniumiza ring h*llo

#verse
h*llo dear x, nimepata tetesi
za kwamba unanisema ili nionekane si mwema
pengine unastress maana umekonda mwepesi
kw*ngu ukimya sio ukilema ila nachunga vya kusema
maana niliubeba msalaba ikawa mi ndo mama mi ndo baba
nikachanga tujaze kibaba mbona hausemi
kiume nilishukuru nikapangusa matako nikakuacha uende
ukawe huru, range na duka ni vyako mi nibaki na makende

#pre*chorus
kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli
siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli
sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo
vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend

#chorus
round hii hainaga (haina kutia huruma) hainaga kutia
hivi ndio niseme nimejipata (hainaga kutia huruma) hainga kutia
maana mbona n*z*di kutakata (haina kutia huruma) hainaga kutia
hainaga haiii haiiii (hainaga kutia huruma) hainga kutia

#verse
ehh peke yangu nisingeweza
nisingeweza kuna kitu mungu kaniongeza, kaniongeza
ona n*z*di kupendaza nina pendaza na nipo bize na fedha
unacheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni
uhaligani uko moyoni sema sema
unacheka tukuone ume move on mara unatuonesha vya nguoni
uhaligani uko moyoni sema sema
#pre*chorus
na kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli
siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli
sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo
vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend

#chorus
round hii hainaga (haina kutia huruma) hainaga kutia
hivi ndio niseme nimejipata (hainaga kutia huruma) hainga kutia
maana mbona n*z*di kutakata (haina kutia huruma) hainaga kutia
hainaga haiii haiiii (hainaga kutia huruma) hainga kutia

#outro
ring h*llo dear x

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...