lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tausi wangu - happy c lyrics

Loading...

[intro]
ooh ayayaya
toti on the beat

[verse 1]
fumba macho usione, nina zawadi nimekuletea
baby no usigome, kama mapenzi basi ongezea
asali yangu nairamba nimalize kibuyu
w*ngu wa ndani nimumunye mi ni wako mahabusu
usinitenge kwenye msoto,kwenye joto nifute jasho
nibembeleze kama mtoto uilinde hadhi yangu

[pre chorus]
wenye husda achana nao
tumejenga kuta ya kutengana nao
wenye husda achana nao
tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah

[chorus]
tausi w*ngu wa pekee [ooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
tausi w*ngu wa pekee [oooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee

[verse 2]
moto umeuzima,siwezi kwenda kwingine
tumekula yamini, mimi na wewe
umenivuruga umenifanya dondocha,siwezi dondoka umenishikilia
mapenzi tamu tamu unanipa naburudika nafarijika mama
[pre chorus]
wenye husda achana nao
tumejenga kuta ya kutengana nao
wenye husda achana nao
tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah

[chorus]
tausi w*ngu wa pekee [ooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
tausi w*ngu wa pekee [oooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee

ooh yeah ooh
[bridge]
simama wakwone jishebeshebedue
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone ringa ringa
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone jishebeshebedue
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone ringa ringa
cheza wakwone wakomeshe

[outro]
sultan 001
they call me happy c yeah
yeah yeah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...