milele (saturday/sunday) - h_art the band lyrics
[intro]
your love and your mercy endure forever
leo, mpaka milele
[verse 1]
yakiinuka mawimbi
na dhoruba zote kali
na nikikanyaga mavumbi
bado unanihifathi
haya macho hayaoni
unayoniwazia mimi
na bado hubadiliki
unatimiza ahadi
[chorus]
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
mpaka milele milele
mpaka milele milele
mpaka milele (mpaka milele), milele (milele)
mpaka milеle (mpaka milele), milеle (milele)
[verse 2]
umetengeneza mji
wa maziwa na asali
pasipokua na chuki
matatizo ya awali
wanilinda kama mboni
pasipo wewe mi sioni
na yote unamiliki
utatimiza ahadi
[chorus]
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
[bridge]
mpaka milele (mpaka milele), milele (milele)
mpaka milele (mpaka milele), milele (milele)
mpaka milele (mpaka milele), milele (milele)
mpaka milele (mpaka milele), milele (milele)
[chorus]
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
umetenda
utatenda
kulingana na ulivyonena
neno lako ladumu leo mpaka milele
Random Song Lyrics :
- number one - marvinkann & honee haye lyrics
- blessings - coopernicus lyrics
- bendy vs pennywise - rockit gaming lyrics
- sharp edges (one more light live) - linkin park lyrics
- dabonmyblade - maru nara lyrics
- the bright lights - grimgotts lyrics
- keep it real - soulchef lyrics
- new style - jaycee lyrics
- kann mich jemand hören - 8kids lyrics
- wrapped in fantasy - pretend lyrics