masheesha - h_art the band lyrics
[intro: cedo]
[?], h_art the band
h-underscore-a-r-t the band, ha-ha-ha
and now the big man himself bensoul, 254, and cedo
(hahahahaha) ha-ha-ha-ha, cedo
[verse 1: mordecai mwinyi and kenneth muya]
oh boy, ha
msupa w-ngu anataka masheesha
na kwa mf-ko pesa zangu zimeisha
na yule waiter ananitisha
ati ma-bouncer atawaita
na huyu dem bado anaitisha
na mi nashindwa sasa venye nitazusha
tulipatana juzi kwenye insta-grrram
na mi sitaki choma picha
[chorus: mordecai mwinyi]
itakua ngori, sikiza story
wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry
na ukicheza utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, ye, ye, ye (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, ye, ye, ye, ye (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, ye, ye, ye (demu wa masheesha)
patana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, ye, ye, ye, ye-eh (demu wa masheesha)
[verse 2: bensoul]
kwenye profile, mimi ni lawyer
kizungu tamu kama ile ya lumumba
lakini ukweli, mimi ni hawker
nina thao mbili, manze, leo kulidhoka
makanjo walinishika
hata ni bahati, stenje, bado sijafika
na huyu dem, zake bado hazijashika
mzinga tatu sasa zimekatika, eh
[chorus: mordecai mwinyi and bensoul]
itakua ngori, (woi, woi, woi) sikiza story (oh no)
wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry
na ukicheza utapatana na ye, patana na ye
patana na yeye, wewe (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na yeye, wewe (demu wa masheesha)
ukicheza utapatana na ye, patana na ye
patana na yeye, wewe (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, oh, oh, woah, woah (demu wa masheesha)
[bridge: mordecai mwinyi]
sasa nawaza vile nitaenda choo
nitoroke huko nyuma, backdoor
akinisaka, asinipate ng’oo
akiuliza, aambiwe nime-go
lakini vile mi naenda kuch0m-ka
yule waiter akaniona
hiyo bill akai-drop, na kwa mf-ko, mimi sina hata bob
[chorus: mordecai mwinyi and bensoul]
itakua ngori, huh, sikiza story
wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry
na ukicheza utapatana na ye, patana na ye
patana na yeye, wewe, eh (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na yeye, wewe, eh (demu wa masheesha)
utapatana, patana, patana, patana
patana na yeye, wewe, yeah (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, woah, woah (demu wa masheesha)
utapatana na ye, patana na ye
patana na ye, yeah (demu wa masheesha)
unaweza patana na ye, patana na ye
patana na ye, ye, ye-ye-ye (demu wa masheesha)
unaweza patana na ye, patana na yeye
patana na ye, yeah (demu wa masheesha)
oh, utapatana na ye, patana na ye
patana na yeeh, yeye, yeye, eh (demu wa masheesha)
Random Song Lyrics :
- broke af - cece lyrics
- karanlık - kopil lyrics
- reggae conciencia - providencia lyrics
- miękkie pały - vae vistic lyrics
- own thing - k bishop lyrics
- la chiave, le virtù e l’arroganza - negramaro lyrics
- just fine - zachariah lyrics
- gesetzlos - b-tight & tony d & g-hot lyrics
- c'est la vie - whitewell lyrics
- na de ti - rauw alejandro lyrics