
manukato ya sifa - guardian angel lyrics
Loading...
shamma we ni jehovah dear
umenibeba juu halleluyah
umenijenga juu ya mwamba aaah
mungu umeja wema aah na mapendo eeh
nimeona uzuri wako ooooooh
nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli
wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah
umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh
nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah
na bado unanik*mbatia wakati wa mawimbi
tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh
nitalinda moyo w*ngu uuuh ukufuateee eeeeh.
Random Song Lyrics :
- heads will roll (battlefield hardline) - teamheadkick lyrics
- flaco - mango the only lyrics
- 浮生 (floating life) - 原子邦妮 (astro bunny) lyrics
- kuvvetmira yeniden - dj petrichor lyrics
- strange - lights of euphoria lyrics
- mortal one - morte silmoris lyrics
- new level - xavier goodman lyrics
- flaming carrot theme song - wild man fischer lyrics
- 少年が故の情熱 (shounen ga yue no jounetsu) - greeeen lyrics
- 非你不可 (fei ni buke) - snh48 lyrics