uwezo - gran geezy lyrics
yeah it’s made of blak
uh geezy
napenda kulala but my dreams don’t let me
i gotta stay up ili nizisake izo chenchi
i had a dream, of driving a benzi but the only dream i fullfilled is driving all these other rappers crazy
i’m the greatest, self*made, rare specie of my creation newschool rapper mtukutu nahitaji detention
i’m underrated so all i do is retaliation everytime i get a studio session
d*mn
wanauliza ulikua wapi jana ?
mbona kiza kinatanda ukianzaga kuchana?
unawaficha hawa rappers gran geezy bwana kama rap teacher maana unachapa kwa ulimi sana
uh..napenda chana sana that’s ma biggеst problem
nachana zaidi ya jana hilo ndo biggest problem
na sijafanya mеngi sana nimeshazua problems
wameshimdwa kunitatua i’m the biggest problem
now tulieni niwape ladha..
em ngoja kwanza mimi ni zaidi ya tatizo
wanaojiita the best leo nimekuja kuwapa likizo
rappers getting cut alafu hakuna hata maigizo
it’s all action no talk
mistari yao dundulizo me ndo rapper mkali zaidi weka nukta sio kiulizo
leta pesa sio maelezo
rappers wanatoka damu leta sanda sio hata leso
learn your lesson
nikisema me namaanisha hawa rappers wanadhani nikisema nataka kuwatisha
niko mbio na wanangu zinasoma tu kilomita
afu kauli mbiu ya wanangu kila ngoma ni kuwakalisha alafu nikiwa nasema samahani usinikatishe hata mitaa nnayo toka mwanangu huwezi katisha
sina hata noma maana kila kitu kina mwisho
so ninachofanya ni kutia mikazo mpaka mwisho
backing down mwiko
in the marathon of success huko ndo nilipo
nimeanza chana toka hunijui kabisa
me ndo yule rapper lijali nikiskia biti nadisa kifikra
nawaza vipi kwenye biti ntapita
siwazi k*ma liza verse nawaza vipi ntauwa hio verse kwenye biti nikipita
sitemi yai viza hata kwa ngeli nikipita
na siweki pause nyie chekini muvi la kuchanika
swala rappers chanja mbuga maana simba nimeshatimba nyote tu mtaliwa
sio tu unavimba kisa una jina
ukatuona si makima na moto walo si tunakuja uzima tena mazima
and i don’t see n0body bigger
ndio maana kila nikichana all u rappers nawaminya …..niccuh!…(cheki uwezo!)
Random Song Lyrics :
- inseguridad - xenon lyrics
- al final - laley lyrics
- clout.syndrome - lns masu lyrics
- my friend bob - mark kozelek lyrics
- good light - drew holcomb & the neighbors lyrics
- 6° - clarence clarity lyrics
- stronger - twice lyrics
- celebrate me home (for the holidays) (live) - kenny loggins lyrics
- les sabots - alain barrière lyrics
- some kind of fool - coast to coast (pop group) lyrics