wivu - govice lyrics
Loading...
aliumba dunia
kawaumba binadam
kayaumba na mapenzi
akaumba hisia
kamuumba awa na adam
toka enzi na enzi
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
na mkipost picha
instagramu status
hasira zanipanda juu
unapendeza sio kwa picha
shepu linajificha
sauti nzuri kama ya zuuh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
vipi akikupa jina
nami n’kawa sina
hotelini dina oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
nina wivu
mi nina wivu oh
nina wivu, na wivu, na wivu oh
Random Song Lyrics :
- preciso - wdsmvnsknvksdnv lyrics
- golden child (m.g.b.2.a.k) - gunna tr lyrics
- coastline - liu & woak lyrics
- choppa sing - clipz (extendoclipz) lyrics
- belly of the beast - gold lyrics
- article nine - john forster lyrics
- flor do manacá - manacá lyrics
- blind - heather hills lyrics
- dite e re - capital t lyrics
- gelato - icydre lyrics