raph is rough - got me focused lyrics
((pre chorus))
ngoma inachuna
ngoma inachuna
((chorus))
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly kaa locust
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly kaa locust
((verse 1))
ngoma inachuna
ngoma napatia mafriendz
inagonga ka chuma
ukipenda unatumia friendz
matime kama hizi ni za support mingi
masiku kama hizi ni za vibes mia mbili
ngoma si clean but ikona hygene
usitoke home kaa ujabeba mask mbili
ngoma inachuna
ngoma napatia mafriendz
inagonga ka chuma
ukipenda unatumia friendz
nilipata kuku
sasa nauza mayai
lakini huku kwetu
akuna mtu amebuy
((pre chorus))
ngoma inachuna
ngoma inachuna
((chorus))
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly ka locust
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly kaa locust
((verse 2))
siku nitatoka job
watadhani nilikuw*nga lockdown
mi ni travis mi ni batman
my n*ggas wanapenda tu robbin
ngoma zangu ni action packed
nawapiga kiaction movie
venye narun the block, (huu)
sikuzaliwa juzii
toka hapa na mashida mob
ama utalia tu ka mbuzi
beberu wananiita goat
siku mbili na nishakuwa topic
sinanga akili ninarandaranda mjini
wanawika f*ck raph na bado wako chini
nikiwa na akili wataniita tu chizi
wanawika f*ck raph na bado wako chini
((chorus))
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly ka locust
got me focused
got me focused
got me focused
niko fly kaa locust
Random Song Lyrics :
- life is waiting - dionne warwick lyrics
- rabbit out the pot - j1hunnit lyrics
- sharai - leonard dembo lyrics
- pradax - fuerza regida & maria becerra lyrics
- the dark - archie summers lyrics
- kill your beloved - the maple room lyrics
- emily can be - the maple room lyrics
- kawäsaki - cupm1ce lyrics
- заморозки (frost) - kiprok lyrics
- a new beginning - coa (kor) lyrics