blame on me - gosby lyrics
chorus
even though i didn’t treat you right but
listen mama you can blame on me {go blame on me}
hata sikuwahi kuk-make you happy but but you can blame on me {go blame on me} x 2
verse 1- gosby
i know love is a battle and i wasn’t ready to settle
ulinipenda lakini bado, nilikufanyia mizinguo kibao
na kila mara tu niko na masistaduu
gangstar in the hood and i was so rude
chorus
verse 2 – godzilla
haiyakua mapenzi sinema ndugu zako wanashinda
wakisema wanaomba nife mapema
sababu sikukutunza vema
mdomoni unatajia ka slogan
mwilini unanihitaji kama organ
nimekua heritage kama morgan
unalia kama umeona my jordan
ulitaka tuwe ka beyonce na jigga
simu nakata ukipiga, uko nyumbani unalia baby
niko club naruka madebe na umelia sana don’t stop
nimekuliza sana non stop mpaka your mama and papa
wanaona yani bora ungeniacha mi ni zilla
chorus x 2
brigde
Random Song Lyrics :
- стрела (strela) - аркона (arkona) lyrics
- giù al muro - sierobrownie lyrics
- overnight conversations - nights at toni's playhouse lyrics
- most underrated playa - souly lyrics
- gone too soon - aj_official2005 lyrics
- butterfly - pi'erre bourne lyrics
- always will - tinlicker lyrics
- little bit (xangang) - friman (ita) lyrics
- the light - stefre roland lyrics
- anti-pop - eltuum lyrics