lonely - golden tz lyrics
yoo yooo yooo
you knew me from the start
unanijua toka mwanzo
tena unajuaa
kwako bwege hamnazo
tena namtambua
huyo mwehu aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonley
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j*po inaniuma sitambui
tena namtambua
huyo mwehu
aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonely
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j*po inaniuma sitambui
j*po penzii
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi
solo solo
nimechacha
kiporo poro
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi solo solo
nimechacha kiporo poro
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo solo
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo
Random Song Lyrics :
- sunday - mk ultra (not a rapper) lyrics
- say cheese! (smile please) - fast food rockers lyrics
- all that she wants (banghra version) - ace of base lyrics
- just like that - david bars lyrics
- no paraba de llover - nena daconte lyrics
- fuck it - פאק איט - a.k.a badd lyrics
- kathaleen - sonny james lyrics
- esta mañana - los enanitos verdes lyrics
- behind the mask - anima (deu) lyrics
- agarrense de las manos - josé luis rodríguez lyrics