lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

legal - ghost austino lyrics

Loading...

yeah

austino

whenever na roll up
mi hutumia zigi mbichi
utadhani ni kwa lab
vile naifanya vi gwiji
vichwa ndio mi hu burn
niko na spice kama richie
keep two bags za shash
medicating kila minute

inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal

inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal
pedi bop bop
man dem , burn dem , anthem ai
inkman , balloon
ngware rotejo niko kwa lesso
kama mokoro wa lego
safari ni special sio vacation
dandia moti , pеsa kwa koti
arif ni donda , gari ni ya moshi
picking , stopping , hopping, out
ngara kwa mathe , ngara kwa mathe
rada ni chafu , wapi kipande
polе afande , pale kipande
rounda ya globe
masaa ni mbaya , masaa za job
nime jipin , bila cologne
smell ni strong , ganja ni fresh
ganja ni mob kwa bag ni kilo
kwa pori ni bag na koro
sipendi hii usoro
ma mbang’a ni doh
kwa kichwa ni smoke
nirudi kejani ni roll
teke , teke , customers have woken
ndege ndege
high ni kaa na travel
dosage , damage
free smoke ! free smoke
balloon clan austino
free smoke ! free smoke
free the trees that we blow
we grow
hahahaha
inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal

inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal

picha perfect huwa bila filters
thats why siwezi jificha
am the rasta bila sifa fisa
mtaa na grow sativa
hii mtaa mi ni kaa ambassador
naskia kaa whiz khalifa
inafaa kuwa legal round the world
nairobi to geneva
am not politicking
but inaeza ongeza do ya mwananchi
enough of cotton picking
sasa tuna dai kujiajiri
out of box thinking ,unmask umaskini
burn kaa pilil pili
rhyme bila reason silly
should be legal . believe me
ni dawa ya covid si siri
inafaa kuwa plenty prolific
inafaa kuwa legal for profit
inasaidia kwa composing
uki hit haupandi mori
dawa ya skin naifanya flowing
so we have to keep it growing
picha perfect huwa bila filters
thats why siwezi ificha
sifanya nikisaka sifa
hizi mtaa niki grow sativa
huku mi kaa whiz khalifa
niko stoned kila dakika
inafaa kuwa legal
kenya , nairobi to geneva
inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal

inafaa kuwa legal
in my view god hakuifanya kosa
inafaa kuwa legal
ndio hadi youth tuieke kwa mboka
inafaa kuwa legal
round the world
ndio earth ieze kupona
inafaa kuwa legal kila mtaa
inafaa kuwa legal

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...